- Thread starter
- #21
Kuvujisha video unamla mtu tigo ni sababu ya kipuuzi?Sababu uliyoitoa bado haina nguvu labda una sababu zako zingine ambazo ni za kipuuzi kabisa ila umeshindwa kuzisema

Kama alieliwa alikubali hata mimi ningemla tuKuvujisha video unamla mtu tigo ni sababu ya kipuuzi?
Unasoma kuondoa ujinga upi?Nini maana ya kuwa msomi ikiwa usomi wako pamoja na hizo so called PhD hazijakusaidia?
Tunasoma ili;
1. Kuondoa ujinga
2. Kupata kazi nzuri ikusaidie kuendesha maisha.
Lengo la kwanza ni kuondoa ujinga kwanza, kwenye maisha sio lazima uwe msomi ndio uwe na maisha mazuri.
Mwenzetu amefanikiwa kwenye lengo la pili, lengo la kwanza la kumuondolea ujinga amefeli.
I stand to be corrected.
Unasoma kuondoa ujinga upi?
Mfano: katika maisha kutokujua kusonga ugali ni ujinga, na pia kutokujua viungo vya panzi kwa kiingereza ni ujinga.....
Sasa ujinga mnaosoma kuuondoa hua ni upi?
Isijekua hua mnateseka kuondoa ujinga usio na msaada kwenye maisha.
Tatizo ni kurusha videoKama alieliwa alikubali hata mimi ningemla tu
Kwako CeO Barbara Gonzalez
Unawezaje kumteua mtu asie na maadili kama Mwijaku kuwa muhamasishaji wa Simba?
Club ya Simba imefika level ya juu sana,kiasi ya kwamba afisa yeyote atakaejihusisha na brand yetu hatakiwi kuwa na makando kando
Mwijaku ni mdhalilishaji wanawake,ameshawahi kupata scandal ya kuvujisha picha za ngono na kuwekwa mahabusu takriban wiki mbili,ni yule msichana tu ameamua kumuachia Mungu,lakini what if wasioitakia mema Simba,wakiamua kumshawishi arudishe kesi mahakamani, huoni kama umeweka rehenani brand yetu?
Kwan hakuna watu wengine wanaoweza kuisemea Simba zaidi ya Mwijako?
Ukiwa CeO wa kwanza mwanamke kwenye ukanda huu,halafu unateua mdhalilishaji wanawake,huoni kwamba unajiaibisha na kuaibisha club yetu?
Umefanya kosa kubwa sana Madam CeO,na usipolirekebisha litatuletea matatizo mbeleni
Kaondolewa mwenye Asd... attention seeking disorder...
Anakuja mwenye chronic bipolar...
Kila mgonjwa wa akili Tanzania ni celeb...
Vituko wanavyofanya kwa sababu ya ugonjwa
Ndo tunaita 'mashamsham'...au "vipaji"..
Very sad
Manara?Simba kumpata asiye mbumbumbu ni ngumu yaani Kati ya wote mbumbumbu mwijaku kaonekana Ana afadhari
Yuko simba?Manara?
🤣🤣🤣🤣🤣Kaondolewa mwenye Asd... attention seeking disorder...
Anakuja mwenye chronic bipolar...
Kila mgonjwa wa akili Tanzania ni celeb...
Vituko wanavyofanya kwa sababu ya ugonjwa
Ndo tunaita 'mashamsham'...au "vipaji"..
Very sad
Acheni fitnah....Kwako CeO Barbara Gonzalez