Kwako Barbara Gonzalez; Mwijaku hatufai kuwa Muhamasishaji

Kuna thread humu na kichwa cha habari kwamba watu wanaona Steve Nyerere ana kiherehere hawajakutana na Mwijaku, jamaa sijui kapataje hiyo nafasi...
Anasema Simba ikifungwa atatembea uchi wa mnyama na akionekana apigwe mawe afe
 
Acheni fitnah....

Kama alipelekwa mahabusu hawezi kubadilika?!!!

Binafsi ni mwanachama wa Yanga ila mfuatiliaji mzuri na mpenda mafanikio ya kweli ya soka letu....

Tumuache ndg.Mwijaku awafanyie kazi watani wetu kwani Kama ana makandokando nina imani Simba wanayajua na bado wamemteua!

#DaimaMbeleNyumaMwiko
Upo nyuma sana utopolo
Dunia ya sasa ni branding,na brand haitaki makando kando
Kama Simba tunaamini kwenye branding,basi hatuna haja ya kuwa karibu na mtu anewatumia wanawake kingono huku anawapiga picha halafu anarusha mtandaoni,huo ni udhalilishaji
Hivi itakuaje siku simba imechukua ubingwa halafu wanaalikwa bungeni au ikulu?nae mwijaku atasimama Mbele ya mama?atapiga picha na mama?
 
Ameshaawapa task, mkifungwa mtembee uchi...mikia sijui kama kuna wanaume wa kweli maana wengine wanatoa hadi ahadi za kuoelewa
 
Mtu mwenye akili nzuri akimtazama Mwijaku lazima aone ana mapungufu fulani ya msingi kimaadili! Mwijaku ni mtu mwenye skendo za kutia kinyaa sana na pia anaonekana ni mtu anatafuta umaarufu na mafanikio kwa gharama zozote!

Nimeona hata CLOUDS MEDIA GROUP kwa kuwaweka watu " useless" kama akina Mwijaku Brand yao imeanza kufifia sema hawajashtuka kwa kuwa "Kichwa chao" Marehemu Ruge Mutahaba hayupo!
AZAM kwa sasa ndiyo Brand inayoongoza hapa Nchini kwenye media industry kwa mujibu wa utafiti wangu.

Simba lazima izame kwa kuweka watu wasio na integrity kama huyo Mwijaku mbele!
 
Upo nyuma sana utopolo
Dunia ya sasa ni branding,na brand haitaki makando kando
Kama Simba tunaamini kwenye branding,basi hatuna haja ya kuwa karibu na mtu anewatumia wanawake kingono huku anawapiga picha halafu anarusha mtandaoni,huo ni udhalilishaji
Hivi itakuaje siku simba imechukua ubingwa halafu wanaalikwa bungeni au ikulu?nae mwijaku atasimama Mbele ya mama?atapiga picha na mama?
Unataka kusema kuwa mtu akikosea na akitubu basi hastahili kuwa katika nafasi yoyote ile?!!!

UHALISIA ungekuwa ni hivyo basi hii dunia kusingekuwa na yeyote popote pale.....

Barbara Gonzalenz na wanaomzunguka ni wasomi na weledi pia.......

Kuna kazi zingine hazihitaji mtu aina ya mwijako
 
Back
Top Bottom