Kwako Barbara Gonzalez; Mwijaku hatufai kuwa Muhamasishaji

kabombe

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
26,152
18,738
Kwako CeO Barbara Gonzalez

Unawezaje kumteua mtu asie na maadili kama Mwijaku kuwa muhamasishaji wa Simba?
Club ya Simba imefika level ya juu sana,kiasi ya kwamba afisa yeyote atakaejihusisha na brand yetu hatakiwi kuwa na makando kando

Mwijaku ni mdhalilishaji wanawake,ameshawahi kupata scandal ya kuvujisha picha za ngono na kuwekwa mahabusu takriban wiki mbili,ni yule msichana tu ameamua kumuachia Mungu,lakini what if wasioitakia mema Simba,wakiamua kumshawishi arudishe kesi mahakamani, huoni kama umeweka rehenani brand yetu?

Kwan hakuna watu wengine wanaoweza kuisemea Simba zaidi ya Mwijako?

Ukiwa CeO wa kwanza mwanamke kwenye ukanda huu,halafu unateua mdhalilishaji wanawake,huoni kwamba unajiaibisha na kuaibisha club yetu?

Umefanya kosa kubwa sana Madam CeO,na usipolirekebisha litatuletea matatizo mbeleni
 
Aisee
20211021_174948.jpg
 
Maisha Yaendelee
Hillary Clinton Kwenye Scandal Ya Mumewe Liliisha
Hata Hilo Nalo....................
Muha Wa Kigoma Yule....
 
Duuuh!, watu wanapambana, huyu jamaa kafanyafanyaje hadi kaipata hiyo post, nimeshangaa!
 
Sababu uliyoitoa bado haina nguvu labda una sababu zako zingine ambazo ni za kipuuzi kabisa ila umeshindwa kuzisema
 
Msomi Msomi tu. Mbona watu na PhD hawana weledi

Nini maana ya kuwa msomi ikiwa usomi wako pamoja na hizo so called PhD hazijakusaidia?

Tunasoma ili;
1. Kuondoa ujinga
2. Kupata kazi nzuri ikusaidie kuendesha maisha.

Lengo la kwanza ni kuondoa ujinga kwanza, kwenye maisha sio lazima uwe msomi ndio uwe na maisha mazuri.

Mwenzetu amefanikiwa kwenye lengo la pili, lengo la kwanza la kumuondolea ujinga amefeli.

I stand to be corrected.
 
Back
Top Bottom