mwananthropolojia
JF-Expert Member
- Oct 6, 2012
- 956
- 658
php code zinachosha kuisoma
mwanaanthropolojia mimi si unajua ni kungwi? nitakupatia mke.....nimemfunda akafundika, wewe mwaga tu sifa ambazo unapendela,....utapata kigoli ambacho hata hakijawahi kushikwa mkono na akina figganigga na erickb42

Mh.... Karibu!
kwetu siti zimejaa Mwanathp....
jina gumu bana aaah!!
ngoja aje C6 ndiondio jina langu la ukoo,mbona dadako charminglady ananikaribisha, ww unanibania bana?
​wote tushakamatika!!hahaha kaz kwelkwel itabd ulizoee tu tumekatazwa kutumia majina ya mwanzo ni ya ukoo tu,na hii familia lazima nikamate mmoja
​wote tushakamatika!!