Kwako Arabela.....


Hata
Kitabu kina utaratibu katika kukisoma mwache ma wyf asome.
 
Last edited by a moderator:
nimeona mtoto hatumii mkorogo lakini yu bomba je akitumia? Kuhusu kura yangu wala asiwe na pupa kama anazo 100,000 basi ajue zitakuwa 100,001

ahsante sana mpendwa jaman
 
Huu si ushahidi tosha kbs,kama Arabela anafurahia hili jinana kukaa kimya...mtakuwa lenu 1


Punguza wivu basi,mbona jina lako halipo katika huo ushahidi ulioweka hapo..??Nisijekuwa nimemletea Arabela wangu matatizo bure.Mimi nimemsifia kwa nia njema tu,Umeshampigia kura lakini..??
 
Last edited by a moderator:
Dua zangu kwa mungu ni juu yake arabela asiwe kama upepo wa kufuata bendela ni mkarimu tanzania hata south kwa mandela wana chit chat wanampenda kwa zake fikra kuwa mbele wengine wapige domo kura zaenda kwa arabela karibu na wewe kura mpe arabela.
 

jaman mbona maneno mazuri hivyo mpendwa Slave.. Ahsantee saaaaana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…