kwaito ni lazima kwenye sherehe zetu??

Dunia ni kama kijiji kmoja sasahivi. Wote n wamoja,hiyo usishange hlo mkuu. Na hiki kzazi cha digital vijana bila kwaito sherehe haijafana
Sahihi kabisa kwa vijana kucheza kwaito sipingi ila napiga kuigeuza sheria au ndio utamaduni wa kila harusi wapi tunakwenda ndugu yangu?msouth anacheza mdundiko kwenye sherehe zao?
 
mhhh ukute sasa masista duu wanavyoicheza kwaito kwa viuno!!! na kwenye viuno yanachezwa mabega!!!
wallahi bora tungeiga mganda!!!
 
Shostii Masaa-el-heri, kwani kwaito ina chezwajee ? au ni ya aina ipi? Tafadhali hata kapicha nipate taswira. Shukraan!
Nilidhani ni mimi tu ndo sijui..hebu tuwekee hata nyimbo moja mkuu ummu kulthum na sisi tuone hii kwaito inachezwaje.
 
Last edited by a moderator:
Nilidhani ni mimi tu ndo sijui..hebu tuwekee hata nyimbo moja mkuu ummu kulthum na sisi tuone hii kwaito inachezwaje.
rafiki nimekuelewa lkn hapa ninakamchina,just google utayaona hayo majonjo ya wenzetu
 
Last edited by a moderator:

aisee ni kweli halafu mbaya zaidi hata hatuelewi tunaimba nini. kuna harusi moja wazazi walitambulishwa kwa ile 'sawa sawa sawale' baadae nikaja kutafsiriwa kumbe ni matusi mazito. Juzi juzi wabongo wanacheza 'personally' ya naijeria harusini sasa najiuliza hawa watu hawajui ngeli au? mbona sio mziki wa sherehe tukufu kama harusi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…