Labda kwa kuwa kaanzisha uzi yeye Mama Mdogo....Mmmmmmm..........Allien kwa kudandia picha zilizobandikwa na wenzake na kuzifanya kaziweka yeye....zangu mbili keshazikopmalia zionekane kama kazipost yeye.........JF bwana....wee acha tuu.... angalau basi toa shukrani au bonyeza kibox cha thanks and like..........................haipendezi kudandia treni kwa mbele............nakusamehe bure ....labda hufahamu utendalo!!!!
Hapa katika hii picha nahisi kama ni ule wimbo wetu wa kitu uzima.... wameambiwa CHUNGULIAAA....!
Yaani hawa wameacha kazi wanacheza kwaito..
Yaani hawa wameacha kazi wanacheza kwaito..
Mama Mdogo nilizikuza na kuziweka kwa nia njema kabisa na sikuwa na nia ya kuchukua creduit zako. najua umefanya kazi nzuri na kila anayeona anajua kuwa nimefanya kazi ya kuziweka sawa kama katika thread nyingine.Mmmmmmm..........Allien kwa kudandia picha zilizobandikwa na wenzake na kuzifanya kaziweka yeye....zangu mbili keshazikopmalia zionekane kama kazipost yeye.........JF bwana....wee acha tuu.... angalau basi toa shukrani au bonyeza kibox cha thanks and like..........................haipendezi kudandia treni kwa mbele............nakusamehe bure ....labda hufahamu utendalo!!!!
Mama Mdogo nilizikuza na kuziweka kwa nia njema kabisa na sikuwa na nia ya kuchukua creduit zako. najua umefanya kazi nzuri na kila anayeona anajua kuwa nimefanya kazi ya kuziweka sawa kama katika thread nyingine. Hata hivyo nimefanya kosa kwa kukosa kukupa taarifa. Nisamehe kwa hilo. Vinginevyo nakutakia kila la heri weekend hii utakapokua unacheza Kwaito kule nanihii . . .
Mama Mdogo asante sana kama umenielewa.
Mwana JF mwenzangu, nimekuelewa, umesomeka!!! Hapa kutana na picha ya mzazi mmoja (jina kapuni) akiburudika na watoto wa shule moja ya sekondari (jina kapuni)kwa kucheza nao kwaito kwa kwenda mbele.
Na kweli week end hii nimealikwa kwenye send off na arusi na huko hakuwezi kosekana kwaito na mimi siwezi kosa kuinuka kwenda kuburudika.....raha ya ngoma ni sharti uingie ucheze.....
View attachment 54976
enzi zetu tulikuwa tunaita JIVING, walikuwa wanacheza wanakwaya tu!!
siku hizi ndo minenguo!!!