enzi zetu tulikuwa tunaita JIVING, walikuwa wanacheza wanakwaya tu!!Kweli tumekuwa na taifa la wanenguaji,siku hizi kama hujui kucheza kwaito unaonekana mshamba,mimii nilijifungia na mama watoto tukajifunza sasa nimekuwa fundi wa kwaito..
Mkuu Extra Bongo wameanza lini kupiga kwaito?
Maneno utaweka mwenyewe
![]()
itakuwa ni ofisi ya serikali tu!
hawa wamependeza haswaaaa...