Kwahiyo Makonda ndo basi tena?

Kwahiyo Makonda ndo basi tena?

Hivi kwenye hizi teuzi zote,Makonda haonekani. Mama unampango gani na Makonda. Mbona alikuombea mema tu ulivyokuwa Msaidizi wa Sitta Kule Bungeni.

Msamehe Makonda Bado kijana mdogo. Amejifunza alipokosea.

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Kwa nini usijiombee wewe hiyo nafasi? Kwani ni lazima Makonda awe kiongozi?
 
Ni raia wa kawaida? Ndio unavyojiongeopea? Najua hujui, na ndio nakuambia. Yupo bado serikalini na ana nafasi nzuri tu. Nakupa pole Kama hujui

Ana nafasi gani serikali hii?
 
Nenda kawe mvuvi tu kule kwenu Mwanza, nafasi ulipewa ukajifanya mungu mtu serikalini ulishika madaraka ukawa zaidi ya raisi

Kwanza vyeti vyenyewe huna
 
Amepewa muda wa kujifunza baadhi ya vitu maana alilikimbia darasa, akimaliza atarudishwa.

Ukiwa kiongozi usiwe unaendekeza sana machawa.
Utulivu na uvumilivu ni silaha nzuri kwenye uongozi.
Ukiwa kiongozi uchague nini cha kuzungumza mbele ya jamii.
Unapaswa kuheshimu wakubwa zako hasa waliokutangulia kwenye mifumo.
Unapokuwa kiongozi lazima uwe muelewa na kujua mifumo inafanya kazi vipi.

Uzuri wake mentor wake wa zamani ambaye alianza kumkuza baada ya kukabidhiwa na marehemu Six ni mtu poa sana.
 
Kuna watu wengi wenye uwezo kwanini Raisi amchague mtu ambaye anazuiwa mpaka kusafiri na nchi rafiki na wadhamini wetu kwa ukatili. Itakuwa kitu cha ajabu sana
Mataga wanampenda
 
Back
Top Bottom