Ni upumbavu wa ngazi ya SGR kwa sasa, kama hauna nafasi ya kula, kushabikia vyama vya siasa katika ule mtindo wa kufia kabisa. Binafsi niliachana na hayo mambo tangu miaka ya 2012 huko.
Chama hiki kinakiponda chama kile kwa suala ambalo chenyewe linakifanya, hiyo leo. kesho chama kile kinakiponda chama hiki kwa suala ambalo chenyewe linakifanya.
Cha kuchekesha sasa, wanachama wao, tena wengine wasomi sana na wengine wana sifa za 'ugreat thinkers' sababu wapo katika jukwaa hili, kutwa kucha ni kutetea na kujaribu kuficha hata vilivyo wazi. ole wako ujaribu kukielezea kinaga ubaga kile kinachoonekana. Utatukanwa matusi yote ya dunia hii. ukifikiria sana unakosa maana ya usomi na hata hiyo ya ugreat thinker!
Ni up*mbav* wa kiwango cha SGR kushabikia kindakindaki vyama vya kisiasa kwa sasa, kama uko kwenye mrija poa, piga hela! lakini kama upo upo tu......kukuna nazi, kudeki barabara, kunyosha vidole juu (tena yote hayo yakiwa yanafanyika juani), mwisho wa siku ndio haya tunayoyaona. My friend, uko na eneo dogo la akili!
Mtazamo tu jamani, inaweza kuwa tofauti kwako!!!!