Kwaherini wenzangu!

TMK DAR

Member
Jul 27, 2011
46
11
Wenzangu wa MMU,
Wengi wenu sikuwasikiliza lakini sikio la kufa .......... Nikawasikiliza wachache na nikajikuta nimejaribu kwa mke wa wa mtu,utamu nikaupata na sasa jamaa-mumewe amenijua na amesema nimchukue mke hamtaki tena kwa sababu kapata uja uzito wangu na hataki kusikia kitu amenipa deadline ya siku 30 nimlipe mahari yake ya ngombe 30 na riba mara 4 na mimi siwezi kuzilipa, nimehama nyumba mara 6 lakini amenifuata,mkiona sionekani tena ,basi jueni ndio jamaa katimizia azma yake,wake za watu mnatumaliza!
Kwaherini!
 
si kidogo
bora akusanye na rambi rambi yake
aitumie kabisa

Hahahaha. . . yani mshkaji hata kama katunga nashukiru kanipa kicheko cha kulalia.

Aanze kutumia na pesa zake za akiba, kama ana vimali navyo apige bei mpaka soksi alafu atulie kusubiria hukumu yake.
 
itabidi ajifunze sifa za mjasiriamali

can see an opportunity and jump in to it.
Sasa hapo naona rambi rambi inahusu, na vyote alivyonavyo.
Bora akale bata kempisky au papua New Guinea kama inatosha.

Hahahaha. . . yani mshkaji hata kama katunga nashukiru kanipa kicheko cha kulalia.

Aanze kutumia na pesa zake za akiba, kama ana vimali navyo apige bei mpaka soksi alafu atulie kusubiria hukumu yake.
 
WanaJF sote ni ndugu 2nashirikiana kwnye shida na raha, sasa mi naonelea kwa kua mwenze2 yamemkuta haina budi 2msaidie angalau mchango kidogo, kila mmoja humu jamvini akitoa buku buku 2kamsaidia kurudisha hiyo mahari ...........
ANGALIZO: Mweka hazina nitakua mimi mwenyewe.
 
Je ? Akikupa alternave choise ! Kwamba akutafune NUKTA it means "akuwowe" then ndiyo iwe kafara ya lipo na ubaki huru. Ama ukatae akuue! Kipi bora ?
 
hw he he tatizo lako ulijenga kibanda....hit and run ndo mode of operation,mumewe hawezi kukushtukia..kama alivyosema kongosho,we anza kuponda mali zako au tutafute tuzile wote si unajua sisi ndo tutakuzika
 
Kama ungemuepuka mwenye mali, ukimwi ungekuondoa, kalale mahali pema peponi!
 
Hao ng'ombe wachinje halafu uza nyama ule bata huku ukiwa na walinzi wa kukodi,ukiona haisaidii waite ndugu wale matanga kabisakabisa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom