Kwaherini wana_Forum

Kwaherini wana_Forum

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=lXxulJnwrzw"]http://www.youtube.com/watch?v=lXxulJnwrzw[/ame]
 
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=SMwrzlAOhZ4"]http://www.youtube.com/watch?v=SMwrzlAOhZ4[/ame]
 
Ngida1, Wengi wetu hapa tunakuwa na uchungu tukiona picha ama mateso wanayopata wananchi wenzetu, hususan watoto, we all cry and think what can we do to change this? Sisi wengine kadiri tukiona taswira kama hizi za kusikitisha ndio tunazidi kupata msukumo, ari na mori ya kufanya mabadiliko.
Kumbuka ukiwa kama Mtanzania you are part of solution na wajibu wako ni kuichangia jamii kimawazo/fedha ili tuibadilishe hii hali.
Wewe jiunge na akina sisi (underground movement) Ukiona picha kama ya wale watoto wanasoma chini, jaribu kuwasaidia basi, sambaza hii habari kwenye Charities, makanisani/misikitini ili watu tukusanye nguvu tuwasaidie, tuige mifano kama ya yule Baraka Chibiriti na wengine humu.
Kumbuka hizo picha ndio sauti zao, nasi ndio wakombozi wao, Kutotaka kujua matatizo yao ni sawa na kuwasaliti and you should be ashamed of your faint heart!
 
Huyu Ngida inaonekana ni mayai sana au ana sababu zake zingine? Kama "shell" yake inashuka baada ya kuona picha tena ya watoto wanaosoma kwenye mazingira magumu sasa akiwaona live wenye shida zaidi ya hizo itakuwaje? Namtakia maisha mema kwenye "safe" place!

Safe place??? Here in Tanzania, Kindly show me, whatever you see, hear, smell, touch or whatever is a reflection of the poverty level of the Tanzanians as a result of the poor distribution ops sorry, non distribution of the national cake to all the citizens concerned.He is just running away from his own shadow, in which case he is bound to fail. If you dont see this on the internet, then you will watch it on TV or listen on the radio and if you go outside you will see it at kijiweni. or in the streets.The best option is to change the system so that we dont see such schools, roads, hospitals etc
 
Ndg Ngida1 tatizo halikimbiwi bali linakabiliwa kwa kila mbinu, inaonekana kama utapelekwa mstari wa mbele kupigana unaweza kuwatia hofu wengine kwa uoga wako wa kukimbia Adui. pigana ki ukweli tutashinda tu. Mafisadi kitu gani bana.! kumbuka hata MBUYU ulianza kama MCHICHA,vivyo hivyo hii vita dhidi ya mafisadi imeanza pole pole ipo siku itakuwa kubwa na wao watasalimu amri tu.
JIPE MOYO UTASHINDA.
 
ngida sorry to say this,but enzi za stalin ungepelekwa detention siberia for abandoning the revolutionary cause halfway
 
To conquer without risking is to win without glory. Tutimize wajibu wetu na kukumbushana ubaya wa yanayoendelea.Ipo siku nuru iliyotoweka itarejea tena
 
Mwacheni aondoke. Kila kukicha pipo wanajiunga jf ha2takumiss. Mambo ya kuumizakichwa yapo hata barabaran na utakuaukiyaona labda afumbe macho na maskio jambo ambalo haliwezekani. Nnachoogoja jamaa usije 2 ukajikatishia uhai wako kwa mambo ya kipuuz. Hata ukaish wapi dunia hii kero zipo za kumwaga, labda mbinguni ndo mambo 2naamin yako shwari. Ol th best mwana.
 
"the best way to solve problems is not to stay away from them."..Kama nyerere angekimbia matatizo ya kipindi kile leo hii tungekuwa wapi?..You should do something to your country!
 
Kama presure inashuka, presure inapanda, ondoka usije ukatufia. Lakini utakimbia mangapi??? Unfortunately you are living in a wrong place. Bora ungezaliwa china.
 
ngida1 naona hakupitia jeshini, hayo ndiyo matatizo ya watoto ambao hawajakumbana na shuruba.

Sikulaumu ngida1 hata mimi mwenyewe wakati mwingine inabidi tu niepuke kusoma habari zingine za siasa maana mimi ni mhehe naweza jinyonga mwenyewe halafu nimwache FISADI anaendelea kuwala wanangu na vitukuu nyangu milele. Bora niendelee na maisha yangu, maana uwepo wangu ni nafuu kwa familia yangu hata kama tunapiga pasi ndefu ya msosi (mlo mmoja kwa siku).

Mungu ibariki Tanzania, uwaadhibu wadhulumaji, mafisadi wanaotesa roho za Watanzania wasio na hatia.

Pole ngida1, nakutakia afya njema, ila hiyo pombe nayo ni fisadi rafiki, itakumaliza akili, afya na kukuacha masikini kwelii.

mi nakushauri uanzishe shughuli zitakazoku-keep busy, k.m. shamba, physical fitness etc than drinking beer.
 
Ndugu Ngida, uzuri mmoja wale wote wanaoaga huwa hawaondoki na wakiondoka ni kwa muda na hurudi. Mifano tunayo!!! hivyo pata vakesheni kidogo urudi tena mkuu. Usiogope, ni vema tuwe pamoja kujadili hatima ya nchi yetu. Kila abiria akikimbia, Je chombo cha usafiri kitafanya kazi?? Nani yuko tayari kuendesha dala dala mwanzo wa safari hadi mwisho bila abiria?? Ni hasara, tena ni kufilisika. Sasa basi, tuwe wote ile iwe faida kwa nchi yetu.

Unajua ukiona unakata tamaa fahamu mambo mazuri yanakuja. I believe so. Tushikamane. Mimi siondoki mpaka kieleweke.
 
Ngida wanasema hasira hasara..inabidi ushikamane kwa nguvu zote ku fight huo ufisadi...kama una nia nzuri na nchi yako then fight for it kama mpiganaji halisi..angalia mifano ya wapiganaji waliopita kwenye nchi nyingine....acha kuwa lelemama....inabidi uwe ngangali....simama imara kwa nchi yako na utakuja kufurahuia matunda yake....ila usife moyo bado
 
Safe place??? Here in Tanzania, Kindly show me, whatever you see, hear, smell, touch or whatever is a reflection of the poverty level of the Tanzanians as a result of the poor distribution ops sorry, non distribution of the national cake to all the citizens concerned.He is just running away from his own shadow, in which case he is bound to fail. If you dont see this on the internet, then you will watch it on TV or listen on the radio and if you go outside you will see it at kijiweni. or in the streets.The best option is to change the system so that we dont see such schools, roads, hospitals etc

Huyu jamaa na matatizo na yeye mwenyewe ni tatizo pia


"kazi ngumu kuliko zote duniani ni kufikiri, ndio maana Watanzania hawaipendi kabisa kazi hiyo"

Mtumie huo ujumbe kwenye email address yake!
 
Yah ni kweli kabisa!!!

Achana naye, alikuja kubeep tu. Hebu angalia vitu vyake hapo chini.

Senior Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png

green.png

green_right.png
Join Date: Tue Aug 2009
Posts: 81
Thanks: 46
Thanked 41 Times in 27 Posts

Mwache ajaribu larger, inaweza kumwokoa kama mbuni aliyeficha kichwa chake kwenye mchanga kumkwepa adui🙄
 
Bye Bye NGIDA 1 look after yourself and all the best .
 
Back
Top Bottom