Tena ukipata wabichi(mteke) ukawakaanga ukatumia na Ugali acha kabisa,na wakavu ni wazuri pia
Ungeniambiaa nikuletee,hapo ni Kakonko kwa Mh CHIZA
babu kubwa.Umesamehewa mara sabini na tunaifuta katika Ansadi ya JF
farkhina Kigoma hakuna bahari ni Ziwa Tanganyika kwahiyo wanatoka ziwani
njoo unyoe kaka,bei zetu ni rahisi mno.Ha ha Boss wa saluni ya kiume ya JF
Usijali nitakupeleka mpaka Gombe ukaangalie Sokwe