Kwaherini Kigoma

Kwaherini Kigoma

Hatimaye nimefika dodoma saa 4:30 usiku,namshukuru mungu nimefika salama,jumatatu naelekea DSM
 
Leo natoka Dom saa tano,nimeona CCM kwenye jengo lao sijui wanaimalisha CHAMA
 
Ha ha haaa Baba V ataimbaje wimbo wetu
wa Ni Chama cha Mapinduzi, ccm yajenga nchi!!!!

Mamndenyi
Usiwe na wasiwasi Baba V ni kijana wa youth league anaujua vizuri sana wimbo wetu atauimba tu utashangaa mwenyewe jinsi atakavyoongoza korasi: unajua wao wanahama CCM kufurahisha binadamu lakini mioyoni mwao haijawatoka umesahau jinsi wanavyozing`ang`ania kadi zetu eti wanaweka ukumbusho!
 
Last edited by a moderator:
Hapo umesema ukweli na uwazi; Baba V wanatamba huku bongo na magari
ya kifahari lakini wanajitoa akili

............ chama serious nataka kadi ya ccm

Back
Top Bottom