Drifter
JF-Expert Member
- Jan 4, 2010
- 5,409
- 5,585
Upinzani ndio uliofanya ccm iwe makini sana katika kuchagua mgombea urais
Mkuu ongezea pia kuwa hata huyo Magufuli mwenyewe anajituma kwelikweli akijua kuwa kuna ufuatiliaji makini wa wapinzani. Hana wasiwasi kabisa na jamaa zake ambao huko bungeni kazi yao ni kuunga mkono hoja za serikali yake moja kwa moja bila mikwaruzo. Sanasana wanaishia kubembeleza majimbo yao yaonewe huruma na kukumbukwa walau kwa "vichache".