Kwaheri upinzani Tanzania

Kwaheri upinzani Tanzania

BYE BYE UPINZANI TANZANIA.

NAANZA kuona KIFO Kibaya kwa UPINZANI wa TANZANIA masikini ambao uliweza kuishi kwa kutegemea makosa na U DHAIFU wa SERIKALI,

SASA hivi RAIS akitoa HOTUBA inaungwa mkono na WATANZANIA wote na wanaijadili kwa muda mrefu huku kila HOTUBA ANAYOTOA ikileta MATOKEO ya moja kwa moja kwa WANANCHI mfano aliposema kuhusu ufinyu wa BAJETI wa MAHAKAMA baada ya siku amewakabidhi BILIONI 22, Amezungunza na wazee wa DSM kuhusu JENGO la WAZAZI MUHIMBILI tayari JANA MAOFISA wa WIZARA WAMEHAMA na leo kazi ya kuweka VITANDA inaendelea ili WAJAWAZITO walale humo nauonea HURUMA sana.

UPINZANI ndio maana kila SIKU unazungumzia suala la ZANZIBAR kama AGENDA kuu Sasa sijui baada ya MARCH 20 UCHAGUZI utakapokwisha sijui WATAONGEA nini MASIKINI,
WA JIANDAE tu turudisha VITI VYA UBUNGE mwaka 2020 kwa CCM WALIOVIAZIMA MWAKA JANA

ITAKUWA ni HUZUNI kubwa kwa UPINZANI wa Tanzania kila UKIHANGAIKA WANANCHI hawana muda nao WANASIKILIZA kasi ya RAIS tu katika FALSAFA yake katika KUPAMBANA na UFISADI aliyoipa jina la KUTUMBUA la MAJIPU .

bYE BYE UPINZANI TANZANIA.

Mtasubiri sana upinzani kufa.Kwa hiyo mnataka ufe ili mjimilikishe UTAJIRI wote wa Tanzania???
 
Kimbilio la wewe mwerevu ni Bandarini tu.
Huyo Magu anatwaga maji kwenye sinia kwa sababu haelewi tatizo ni nini hapo bandarini kila siku yuko hapo hapo.

Priorities zake kwa taifa ni zipi?

Hana.
 
Sijui kama ww n Mtanzania
Au una sound mind
Kama mpaka leo hujajua priorities za mh Magufuli
Priorities zake kwa taifa ni zipi?

Mie mtanzania huru lakini mpaka sasa sijajua Priorities zake ni zipi maana hasomeki kabisa kwa sisi wa ngazi za chini aka wakulima
 
BYE BYE UPINZANI TANZANIA.

NAANZA kuona KIFO Kibaya kwa UPINZANI wa TANZANIA masikini ambao uliweza kuishi kwa kutegemea makosa na U DHAIFU wa SERIKALI,

SASA hivi RAIS akitoa HOTUBA inaungwa mkono na WATANZANIA wote na wanaijadili kwa muda mrefu huku kila HOTUBA ANAYOTOA ikileta MATOKEO ya moja kwa moja kwa WANANCHI mfano aliposema kuhusu ufinyu wa BAJETI wa MAHAKAMA baada ya siku amewakabidhi BILIONI 22, Amezungunza na wazee wa DSM kuhusu JENGO la WAZAZI MUHIMBILI tayari JANA MAOFISA wa WIZARA WAMEHAMA na leo kazi ya kuweka VITANDA inaendelea ili WAJAWAZITO walale humo nauonea HURUMA sana.

UPINZANI ndio maana kila SIKU unazungumzia suala la ZANZIBAR kama AGENDA kuu Sasa sijui baada ya MARCH 20 UCHAGUZI utakapokwisha sijui WATAONGEA nini MASIKINI,
WA JIANDAE tu turudisha VITI VYA UBUNGE mwaka 2020 kwa CCM WALIOVIAZIMA MWAKA JANA

ITAKUWA ni HUZUNI kubwa kwa UPINZANI wa Tanzania kila UKIHANGAIKA WANANCHI hawana muda nao WANASIKILIZA kasi ya RAIS tu katika FALSAFA yake katika KUPAMBANA na UFISADI aliyoipa jina la KUTUMBUA la MAJIPU .

bYE BYE UPINZANI TANZANIA.
kwa imani yako unadhani wafanyakazi wanamfuraia Makufuli wakati hajaboresha mishahara yao?
 
JPM ni mwanadamu, anafanya makosa na atafanya makosa mengi mbeleni. Kitu kizuri ambacho anahitaji kukitunza ni ile tabia ya kumzungumzia mnyonge, kumfikiria yule ambaye hana wa kumtetea. Wanasiasa wengi wa Afrika hushindwa uongozi kwa sababu unafika wakati wanashindwa kuoanisha urais wao na maisha ya mnyonge ambaye hana wa kumsemea.

Anaposema kuwa watu wamuombee, inabidi wale wanaomuombea wakumbuke kuweka kwenye sala zao, lile ombi la kumuepusha rais na zile roho za kuwasahau wanyonge. Umaarufu wake utafifia kama sio kupotea kabisa, siku atakayoanza kuondoa ule muunganiko wa urais wake na maisha ya mnyonge asiyekuwa na mtetezi.
 
Sijui kama ww n Mtanzania
Au una sound mind
Kama mpaka leo hujajua priorities za mh Magufuli
Priorities zake kwa taifa ni zipi?
Nielezee priorities zake ni zipi usiniulizwe swali wewe mjuaji, nipe jibu
 
Umeonaeeh hata yure wakipindi kile siku moja nilimsikia kwenye media kutoka bunge alisema serikali dhaifu na viongozi wake dhaifu nashangaa amekaa kimya amakweli wamekalia kuti kavu. Na magu ameshawa ambia kutawala nchi hii wasahau
 
Tuchukulie ndoto yako imetimia na ni kwelu upinzani umekufa (japo haiwezekani maana Upinzani utakuwa na nguvu zaidi kadri muda unavo kwenda) Wewe na watz kwa ujumla mtanufaika vipi???
 
Sijui kama ww n Mtanzania
Au una sound mind
Kama mpaka leo hujajua priorities za mh Magufuli
Priorities zake kwa taifa ni zipi?
Kwa hiyo priorities za Tanzania no vitanda Muhimbili tuu? Au mapato ya Bandarini tuu? au kujenga madarasa DSM tuu?
Unaonyesha wewe ni zombie na hata huijui nchi hii na pengine hata hujisomei kuielewa. Ulichoandika ni sawa na mtoto aliyetoka familia fukara ambaye huduma zote muhimu anakosa lakini baba akiwanunulia wali na maharage siku hiyo anaapa na kuapa kuwa hakuna baba bora kama huyo.
Kifupi mawazo yako yamedumaa kwa kiwango cha lami na kuingia jukwaa hili ni kuleta kichefuchefu tui kwa watu wasio wajawazito.
 
Naweza kukuhakikishia kuwa wapinzani hawatakosa la kuzungumza hata kwenye serikali zilizoendelea kama Uingereza na Marekani au Canada, Australia, Sweden, etc upinzani una mambo tele na ajenda mpya kila siku sembuse hapa kwetu ambapo hata wajinga wana mambo tele ya kuikosoa serikali yao.
Unafananisha upunzan wa ulaya na akina lema duu una moyo
 
upinzani ni sehemu ya siasa, kama hamna cha kujadili bora kupiga kimya..
 
BYE BYE UPINZANI TANZANIA.

NAANZA kuona KIFO Kibaya kwa UPINZANI wa TANZANIA masikini ambao uliweza kuishi kwa kutegemea makosa na U DHAIFU wa SERIKALI,

SASA hivi RAIS akitoa HOTUBA inaungwa mkono na WATANZANIA wote na wanaijadili kwa muda mrefu huku kila HOTUBA ANAYOTOA ikileta MATOKEO ya moja kwa moja kwa WANANCHI mfano aliposema kuhusu ufinyu wa BAJETI wa MAHAKAMA baada ya siku amewakabidhi BILIONI 22, Amezungunza na wazee wa DSM kuhusu JENGO la WAZAZI MUHIMBILI tayari JANA MAOFISA wa WIZARA WAMEHAMA na leo kazi ya kuweka VITANDA inaendelea ili WAJAWAZITO walale humo nauonea HURUMA sana.

UPINZANI ndio maana kila SIKU unazungumzia suala la ZANZIBAR kama AGENDA kuu Sasa sijui baada ya MARCH 20 UCHAGUZI utakapokwisha sijui WATAONGEA nini MASIKINI,
WA JIANDAE tu turudisha VITI VYA UBUNGE mwaka 2020 kwa CCM WALIOVIAZIMA MWAKA JANA

ITAKUWA ni HUZUNI kubwa kwa UPINZANI wa Tanzania kila UKIHANGAIKA WANANCHI hawana muda nao WANASIKILIZA kasi ya RAIS tu katika FALSAFA yake katika KUPAMBANA na UFISADI aliyoipa jina la KUTUMBUA la MAJIPU .

bYE BYE UPINZANI TANZANIA.
SIKU 100 ZA MAGUFULI HAWANA AGENDA WALA HOJA
 
Naweza kukuhakikishia kuwa wapinzani hawatakosa la kuzungumza hata kwenye serikali zilizoendelea kama Uingereza na Marekani au Canada, Australia, Sweden, etc upinzani una mambo tele na ajenda mpya kila siku sembuse hapa kwetu ambapo hata wajinga wana mambo tele ya kuikosoa serikali yao.
Sujui kama atakuelewa, siasa ni maisha kila siku kuna kitu kipya
 
Unafananisha wale
na akili za hawa Nyumbu!
Wale hawana mungu mtu,
hawana ukanda
hawana umimi
wanajua kukosolewa
Ajabu mnajilinga nisha nao
Hao unaowaita Nyumbu ndio wanaokuhughulisha kila siku, hivi upinzani ukifa kutakuwa na ile list ya watu 46 wa mweyekiti? hii ni ni kama Ecosystem unawahitaji wapinzaji kuliko hata unavyokihitaji hicho chama mwajiri wako
 
Kimbilio la wewe mwerevu ni Bandarini tu.
Huyo Magu anatwaga maji kwenye sinia kwa sababu haelewi tatizo ni nini hapo bandarini kila siku yuko hapo hapo.

Priorities zake kwa taifa ni zipi?

Kufuta MAFISADI likiwemo hilo mnalokumbatia!
 
Kama kwa heri upinzani, unakaribisha nini? Halafu upinzani kwako ni kitu gani? Yaani wabunge wa upinzani wanaongezeka bungeni, vyama vya upinzani vinashirikiana ndani na nje ya bunge wewe unaleta hadithi za kuuaga upinzani? Hapa Iringa mjini CCM ndiyo chama cha upinzani, kina madiwani 5 kati ya madiwani zaidi ya 20. Au wewe upinzani uko wapi?
 
shida ya wapinzania hawana hoja wanadhani siasa ni kupamana kupigania shanga sasa wanazikwa Rasmi pole yao.
 
Kama kwa heri upinzani, unakaribisha nini? Halafu upinzani kwako ni kitu gani? Yaani wabunge wa upinzani wanaongezeka bungeni, vyama vya upinzani vinashirikiana ndani na nje ya bunge wewe unaleta hadithi za kuuaga upinzani? Hapa Iringa mjini CCM ndiyo chama cha upinzani, kina madiwani 5 kati ya madiwani zaidi ya 20. Au wewe upinzani uko wapi?
kwani upinzani wanamchango gani kwa jamii ya watanzania mbali na kupigania shanga na nguo za ndani.
 
Back
Top Bottom