Kwa mawazo kama haya mgando TZ itaendelea kweli?Hujui ulisemaloBYE BYE UPINZANI TANZANIA.
NAANZA kuona KIFO Kibaya kwa UPINZANI wa TANZANIA masikini ambao uliweza kuishi kwa kutegemea makosa na U DHAIFU wa SERIKALI,
SASA hivi RAIS akitoa HOTUBA inaungwa mkono na WATANZANIA wote na wanaijadili kwa muda mrefu huku kila HOTUBA ANAYOTOA ikileta MATOKEO ya moja kwa moja kwa WANANCHI mfano aliposema kuhusu ufinyu wa BAJETI wa MAHAKAMA baada ya siku amewakabidhi BILIONI 22, Amezungunza na wazee wa DSM kuhusu JENGO la WAZAZI MUHIMBILI tayari JANA MAOFISA wa WIZARA WAMEHAMA na leo kazi ya kuweka VITANDA inaendelea ili WAJAWAZITO walale humo nauonea HURUMA sana.
UPINZANI ndio maana kila SIKU unazungumzia suala la ZANZIBAR kama AGENDA kuu Sasa sijui baada ya MARCH 20 UCHAGUZI utakapokwisha sijui WATAONGEA nini MASIKINI,
WA JIANDAE tu turudisha VITI VYA UBUNGE mwaka 2020 kwa CCM WALIOVIAZIMA MWAKA JANA
ITAKUWA ni HUZUNI kubwa kwa UPINZANI wa Tanzania kila UKIHANGAIKA WANANCHI hawana muda nao WANASIKILIZA kasi ya RAIS tu katika FALSAFA yake katika KUPAMBANA na UFISADI aliyoipa jina la KUTUMBUA la MAJIPU .
bYE BYE UPINZANI TANZANIA.
Achana na Mh. Magufuli wewe endelea kuzungusha mikono kwa siku chache alizokaa madarakani mpaka sasa amefanya mambo makubwa ni kukosa shukrani na heshima kumuita jipu MagufuliRudisheni mfumo wa Chama kimoja mbaki wenyewe.
Magu anatoka povu tu hata yeye ni jipu tena liko juu ya jipu.
Bro, acha kulinganisha upinzani wa kwetu na nchi zilizoendelea, hawa wapinzani wa kwetu ni wanaharakati tena wa uelewa wa chini sana, na mara nyingi wanaharakati huwa ni wababaishaji tu, kwa sasa ili upate nafasi ya kuingia Bungeni kwanza jifunze na ujue harakati maana yake nini, kuna watu kama kubenea na wenzake wameingizwa kwa harakati zao, watz bado uelewa wao ni mdogo sana kuwaelewa, ila siku wakiwaelewa vema, hawatowachagua tena, kwani hata uwakilishi wao ni wa magumashi.Naweza kukuhakikishia kuwa wapinzani hawatakosa la kuzungumza hata kwenye serikali zilizoendelea kama Uingereza na Marekani au Canada, Australia, Sweden, etc upinzani una mambo tele na ajenda mpya kila siku sembuse hapa kwetu ambapo hata wajinga wana mambo tele ya kuikosoa serikali yao.
Kama wewe ulivyo jipuAchana na Mh. Magufuli wewe endelea kuzungusha mikono kwa siku chache alizokaa madarakani mpaka sasa amefanya mambo makubwa ni kukosa shukrani na heshima kumuita jipu Magufuli