Kwaheri upinzani Tanzania

Kwaheri upinzani Tanzania

Upinzan imara ndyo maendeleo ya nchi yetu, tumukuwa ndani ya ccm toka uhuru lkn hakuna kipya zaidi ya kuinyonya nchi.. Hawa ccm baada ya kuona wtz wanataka mabadiliko ndyo maana sasa Magufuli anahangaika kuokoa chama lkn amechelewa..
 
Mkuu ongezea pia kuwa hata huyo Magufuli mwenyewe anajituma kwelikweli akijua kuwa kuna ufuatiliaji makini wa wapinzani. Hana wasiwasi kabisa na jamaa zake ambao huko bungeni kazi yao ni kuunga mkono hoja za serikali yake moja kwa moja bila mikwaruzo. Sanasana wanaishia kubembeleza majimbo yao yaonewe huruma na kukumbukwa walau kwa "vichache".
Kama ule ufuatiliaji wa kubenea kuhusu shanga na hirizi?
 
Upinzan imara ndyo maendeleo ya nchi yetu, tumukuwa ndani ya ccm toka uhuru lkn hakuna kipya zaidi ya kuinyonya nchi.. Hawa ccm baada ya kuona wtz wanataka mabadiliko ndyo maana sasa Magufuli anahangaika kuokoa chama lkn amechelewa..
Umeongea kitu kimoja cha mhimu
"Upinzan imara"
Hapa nchin kuna upinzani maslah tu
na sio imara

tanzania Tunahitaji upinzan imara.

At least ACT wanaelekea
 
Upinzani lengo lao si kuikosoa serikali na hili ndio kosa kubwa ambalo labda mleta mada anazungumzia!
Lengo kuu la vyama vya siasa ni kuoffer mbinu mbadala ambazo zitasaidia ustawi wa jamii! Shida kubwa ni consistency ktk itikadi za vyama vyetu, kimantiki hakuna tofauti yeyote ya msingi ktk vyama vyote karibu 20 vilivyopo nchini!
Wote wanaabudu ktk itikadi za Nyerere, wote wanafikiri nchi hii kazi yake ni kutengeneza mazingira ya kumsaidia mnyonge, wote hawajui ni mfumo upi hasa wa kutoka nao! Lkn wanafanana zaidi wote wanaishi kibepari na kuhubiri ujamaa wa kumkomboa mnyonge!
Kwa kutojitambua huku, huwezi shangaa kuona kuwa msingi Mkuu wa siasa zetu ni majungu, sababu chadema, cuf etc hawana alternative plans kwa shida alizonazo Mtanzania na badala yake wana capitalise ktk majungu ambapo watahangaika kumuonesha mwananchi kuwa hawa jamaa wanapiga!
Umeongea points sana.
Lakin inshort ni kwamba
Wapinzan wa nchi hii hawajui majukumu yao nn?
 
Sera za Magufuli zote ameiba upinzani.

Ataendelea kusubiri kusikia wapinzani wanasema nini ili na yeye aseme.
Vipi kuhusu bomoa bomoa nayo ni sera yenu?
Mlivyo wanafiki mliikataa mkasema sio yenu kisa inagusa wananchi moja kwa moja
Ili msionekane wabaya mbele ya wananchi
Mkasahau mabadiliko tuliokuwa Tunayotaka n machungu lakin yenye tija mbelen.

Watu kila mwaka wanakumbwa na mafuriko Serikali inaingia gharama kuhifadhi wahanga na kuhakikisha wanaishi vizuri katika nchi yao Serikali ikaenda mbali zaidi katika kuwatafutia sehemu za kuishi huko mabwepande Lakin wameziuza na kurudi pale pale Serikali inalaumiwa kwa uchafu uliokithiri Kipindupindu Kwa sabab ya makazi holela ya watu Leo serikali inataka kuondokana na hayo Watu wanaleta siasa za kipumbavu Aseee Tuwen serious na tuwe wazalendo Sio kila mda tunaleta siasa tu.

Akili za nyumbu bhana.
 
Poleni sana. Upinzani umekufa Tanzania. Alichotabiri Wasira ndicho kinachoendelea kutokea ijapokuwa na yeye amekufa kisiasa
Lkn wasira aliwahi kuwa mpinzani....kwa hiyo akifa kisiasa na yeye sitashangaa[emoji15]
 
mimi si mpinzani lkn upinzani hauwezi kufa.hayo yote yanayo fanywa na makufuli ndio yalikuwa yakisemwa na upinzani.ukumbuke upinzani ulisha tengeneza kizazi chake.
sio kweli kamanda. anayofanya Magufuli ni tofauti kabisa na upinzani tulivyokuwa. Magufuli anatumbua mafisadi, lakini wapinzani tukumbatia mafisadi. wapi na wapi. hatufanani hata kidogo. wacha tuivae aibu yetu wwnyewe tamaa ya pesa imetufikisha hapa, imetufanya tusafishe mafisadi na kuua ajenda ya ufisadi. mwacheni Magufuli aendelee kutumbua tutanyooka tu. ikiwezekana akimaliza kutumbua ccm aje na upinzani pia aanze kutumbua mmoja baada ya mwingine.tutamuunga mkono
 
Ngoja Kwanza amalize kugawa vyeo ndo mtajua ni mwepesi !!

Huwezi kuendesha nchi kutoka dar hata uwe Malaika ?

Tatizo nyinyi mnamtenganisha huyo na serikali !!

22 yuko.serikalini anajitakasaje ?
 
Kama si upinzani mambo mengi tucngeyajua hongereni wapinzani iko siku mtashika dola msijali
 
BYE BYE UPINZANI TANZANIA.

NAANZA kuona KIFO Kibaya kwa UPINZANI wa TANZANIA masikini ambao uliweza kuishi kwa kutegemea makosa na U DHAIFU wa SERIKALI,

SASA hivi RAIS akitoa HOTUBA inaungwa mkono na WATANZANIA wote na wanaijadili kwa muda mrefu huku kila HOTUBA ANAYOTOA ikileta MATOKEO ya moja kwa moja kwa WANANCHI mfano aliposema kuhusu ufinyu wa BAJETI wa MAHAKAMA baada ya siku amewakabidhi BILIONI 22, Amezungunza na wazee wa DSM kuhusu JENGO la WAZAZI MUHIMBILI tayari JANA MAOFISA wa WIZARA WAMEHAMA na leo kazi ya kuweka VITANDA inaendelea ili WAJAWAZITO walale humo nauonea HURUMA sana.

UPINZANI ndio maana kila SIKU unazungumzia suala la ZANZIBAR kama AGENDA kuu Sasa sijui baada ya MARCH 20 UCHAGUZI utakapokwisha sijui WATAONGEA nini MASIKINI,
WA JIANDAE tu turudisha VITI VYA UBUNGE mwaka 2020 kwa CCM WALIOVIAZIMA MWAKA JANA

ITAKUWA ni HUZUNI kubwa kwa UPINZANI wa Tanzania kila UKIHANGAIKA WANANCHI hawana muda nao WANASIKILIZA kasi ya RAIS tu katika FALSAFA yake katika KUPAMBANA na UFISADI aliyoipa jina la KUTUMBUA la MAJIPU .

bYE BYE UPINZANI TANZANIA.
Hata kwa JK ilikuwa hivi hivi. Maneno bila vitendo ni porojo, soon atachokwa na atakuwa anaongea watu wanaziba masikio. Wenye akili zinazojitosheleza tunajua kwamba huyu hawezi kuivusha hii nchi na huu usanii wake. Anakumbatia mfumo wa kifisadi, anatekeleza matakwa ya mafisadi, hakuna jipya ataloweza kulifanya kwa maslahi ya watanzania wenye hali ngumu, tutaendelea kushuhudia watu wadogo wakionewa na wale wezi/wahujumu uchumi wakiendelea kupewa vyeo. Kila siku mniombee, sitowaangusha, msemakweli mpenzi wa mungu, nk. Na hivi anajua kwamba watanzania ni wepesi wakushiba maneno, atauza sura Mara kwa mara na maneno mengi utadhani kweli ana uchungu. Wakati wa kampeni alikataa kushiriki chakula alichoandaa Chenge kwa madai kwamba ni fisadi, lakini leo hii tunashuhudia Chenge ni mwenyekiti wa Bunge, na watu hawaoni huu usanii na unafiki wa viongozi wa CCM...ptuuuu!!!
 
Kama mnazuia TBC isionyeshe bunge upinZan hauwez kufa,kama Zanzibar mtaendelea kufuta matokeo upinZan hauwez kufaa,kama mnadhan Watanzania Wote wanatibiwa tu pale muhimbil wakat tunapoenda katika hospital zenu h huku japo mtoto anatibiwa bure akipimwa unambiwa dawa Hanna upinzan hauwez kufa
 
kwa akili yako fupi kama maisha ya funza ndo unazan upinzan unakufa lkn ndio unakomaa marekani na maendeleo yote alionayo bado upinzan uko imara kwasabab agenda kubwa ya upinzan nikufanya zaid
 
Kama mnazuia TBC isionyeshe bunge upinZan hauwez kufa,kama Zanzibar mtaendelea kufuta matokeo upinZan hauwez kufaa,kama mnadhan Watanzania Wote wanatibiwa tu pale muhimbil wakat tunapoenda kat
 
BYE BYE UPINZANI TANZANIA.

NAANZA kuona KIFO Kibaya kwa UPINZANI wa TANZANIA masikini ambao uliweza kuishi kwa kutegemea makosa na U DHAIFU wa SERIKALI,

SASA hivi RAIS akitoa HOTUBA inaungwa mkono na WATANZANIA wote na wanaijadili kwa muda mrefu huku kila HOTUBA ANAYOTOA ikileta MATOKEO ya moja kwa moja kwa WANANCHI mfano aliposema kuhusu ufinyu wa BAJETI wa MAHAKAMA baada ya siku amewakabidhi BILIONI 22, Amezungunza na wazee wa DSM kuhusu JENGO la WAZAZI MUHIMBILI tayari JANA MAOFISA wa WIZARA WAMEHAMA na leo kazi ya kuweka VITANDA inaendelea ili WAJAWAZITO walale humo nauonea HURUMA sana.

UPINZANI ndio maana kila SIKU unazungumzia suala la ZANZIBAR kama AGENDA kuu Sasa sijui baada ya MARCH 20 UCHAGUZI utakapokwisha sijui WATAONGEA nini MASIKINI,
WA JIANDAE tu turudisha VITI VYA UBUNGE mwaka 2020 kwa CCM WALIOVIAZIMA MWAKA JANA

ITAKUWA ni HUZUNI kubwa kwa UPINZANI wa Tanzania kila UKIHANGAIKA WANANCHI hawana muda nao WANASIKILIZA kasi ya RAIS tu katika FALSAFA yake katika KUPAMBANA na UFISADI aliyoipa jina la KUTUMBUA la MAJIPU .

bYE BYE UPINZANI TANZANIA.
Kinachoendelea ni sanaa zilizopangwa kiufundi kuziteka nyoyo za watanzania kirahisi. Na kwa sababu watanzania walikuwa na kiu ya muda mrefu sana ya kuona ujinga, dhuluma, wizi na ufisadi vinapatiwa dawa, hata kile kidogo anachofanya JPm lazima kishangiliwe. Soon watagundua kuwa bado kuna kazi kubwa iliyo mbele yetu! Raisi hapaswi kuwa mtu wa matukio ili coscore politic points! Nadhani kama hiyo ni staili yake atachokwa mapema. Nina wasiwasi kama atakuwa raisi mbovu tuliyewahi kuwa naye Tanzania. Kumbuka kila siku anasema sitawaangusha! Naiogopa hiyo kauli kwani hata JMK alikuwa na kauli hiyo na akatuangusha
 
Mtu anayefikiria kufa kwa upinzani hata akili zake zimekufa
 
Vipi kuhusu bomoa bomoa nayo ni sera yenu?
Mlivyo wanafiki mliikataa mkasema sio yenu kisa inagusa wananchi moja kwa moja
Ili msionekane wabaya mbele ya wananchi
Mkasahau mabadiliko tuliokuwa Tunayotaka n machungu lakin yenye tija mbelen.

Watu kila mwaka wanakumbwa na mafuriko Serikali inaingia gharama kuhifadhi wahanga na kuhakikisha wanaishi vizuri katika nchi yao Serikali ikaenda mbali zaidi katika kuwatafutia sehemu za kuishi huko mabwepande Lakin wameziuza na kurudi pale pale Serikali inalaumiwa kwa uchafu uliokithiri Kipindupindu Kwa sabab ya makazi holela ya watu Leo serikali inataka kuondokana na hayo Watu wanaleta siasa za kipumbavu Aseee Tuwen serious na tuwe wazalendo Sio kila mda tunaleta siasa tu.

Akili za nyumbu bhana.

Lini hilo zoezi litaendelea?

Au mlikurupuka?
 
izo ndoto upinzi auwez kufa ndo unazid kuimalika mungu si wa ccm ni wa wote
 
mimi si mpinzani lkn upinzani hauwezi kufa.hayo yote yanayo fanywa na makufuli ndio yalikuwa yakisemwa na upinzani.ukumbuke upinzani ulisha tengeneza kizazi chake.
Ni kweli yoote anayofanya yalikuwa yafanywe na upinzani ikiwemo bomoa bomoa na kurudia uchaguzi Zanzibar. Safi sana kapatia mpigieni makofi
 
Back
Top Bottom