kwaheri JF

kwaheri JF

Sasa kipi kinakukera? Huwezi kum-control mtu kwa kile anacho kifanya
Ni sawa na kusema hupendi jua linavo toka hivo unaamua kukaa ndani
Ili iweje sasa? utawakimbia JF, utakuta na wengine facebook au twitter
na hao utawakimbia pia? Just ignore them. wakikutaja hayakuhusu...
Watu humu ndani wako wazi kutaja na kutajwa, wewe si umejitaja?


Mwali kwani na wewe ukitajagwa huwa unakasilikaga...??
 
Last edited by a moderator:
Siamini charm unachosema!
Najua unatania!
 
My opinions, kupasusa hapa, kwa reasons ulizotoa, ni sawa na kugombana na kimvuli ! Kama sio kumsusia Fisi bucha!
Nachelea kusema nna hakika hao wakukwazao hata sura zenu hamjuani !
Ikuteseje ?
 
Nooo!
Please,
think twice chaminglady. We real love you to stay. We need you more than any time. So please kindly stay. Thanx
 
My opinions, kupasusa hapa, kwa reasons ulizotoa, ni sawa na kugombana na kimvuli ! Kama sio kumsusia Fisi bucha!
Nachelea kusema nna hakika hao wakukwazao hata sura zenu hamjuani !
Ikuteseje ?

Judgement hapo umenena mkuu.
Mtu anakukera hata sura wala umbo hulijui ni sawa na kupigana na kivuli.
Cha msingi Ignore them to ur list ndio uamuzi wa mwisho kbs,la sivyo utaendelea kujitesa tu.
Ila mamito don' do ths,
JF NI YA WASTAARABU NA WACHACHE WASO
 
Last edited by a moderator:
Ukiondoka utakuwa umewapa ushindi mkubwa wale wanaokusumbua! P'se stay, we still need your busara!
 
ujumbe huu umenshtua hapa jf sina shoga nimuaminie na niliemzoea kama wewe charming lady na ukumbuke hiii ni social network tuu watu sa zingne wanajifurahisha sa kama kila kitu utachukulia serious basi utateseka rafiki yangu mimi nasty sitajwi ila sa zingine tuu comments za watu sazingne za kukuboa lakin mi nachofanya nacheeeka weee afu nami nawajibu tu kichitchat my dia sijui wewe huwa unachukuliaje hizi social network bt ncoz nahis kutajwatajwa kwanza ni jinsi gan unakubalika sa wewe wataka leta mtazamo hasi hao hawakujui jee wangekuwa wanakujua halaf ndo wangekuwa wanasema vitu ambavyo vyenye ukweli kuhusu wewe mama si ungejitoa uhai hebu bana charming lady if u real care abt ur pipo in here the one u trully love pliz stay idnt want u to leave iwant u here istill need u this is nt fair kabisaaaa unanifanya natoa chozi[serious] kwanin lakin mamiii unajipa presha ni sawa uende posta pale uanze kumkimbia yule sanam la bismin hao ni sawa na kuku wakuchorwa tuu mamiii hawadonoi umenifanya niwe macho tafadhali hivi huon watu wote hawa wanasema usiondoke na wala weng hapa hamjaonana bt they want u b here ingekuwa hawataki wangeshasema tiu poa we sepa bt wanaona umuhimu wako nakwambia cl nimeumia hapaujue usitunfanyie hivo. Sijui nikuambie vip ila nimeumia hakyamungu
 
ooh please charmimg lady do not leave please stay with us my dedication from Tyrese STAY
 
nasikitika kuwataarifu kuwa kuanzia jumapili ya tarehe 12 sitakuwepo tena jf, najipiga ban ya hiyari kwani nimechoka kufuatiliwa. nahisi kuboreka na wanaonibore na wanajijua/wanajifahamu. yan wakipost topic ama kukoment hawachoki kunitaja taja. jaman siwataki hv mkoje! bakini na jf yenu mfurahie bila kuniona ili roho zenu zifurahi. . . . kwaheri ya kutoonana!

Pole sana! Wapuuze wakina: St. Paka Mweusi pamoja na 'Wakati ndio sasa'!
 
charminglady nini tena mamito?? usikimbie tatizo, face na ulitafutie solution, thats how a strong woman is and should be! mwahhhhhh!
 
Last edited by a moderator:
Haya dada, hatuna budi ila kuheshimu uamuzi wako
Huko unakoenda msalimie mwalimu wangu FaizaFoxy
Msalimie cousin wangu Husninyo, mwambie I love her
Msalimie EMT, muulize habari ya siku nyingi? mzima?
Msalimie Mod Brialex, na wengine wote walio jitoa JF

asante kwa kunielewa Mwali, salamu zitafika! baki salama. . .
 
Last edited by a moderator:
Natamani ningekutana na wewe maana unavyotetea uhuru wako,kumbuka tu kuwa hapa unaongea na kompyuta sasa huku mitaani ukikumbana na vikwazo kama hivi sijui inakuwaje,kwa mtazamo wangu naona hii ungeichukulia kama changamoto ya kukabiliana na maisha endapo utakutana na hali hii live.Tatizo halikimbiwi hata siku moja bali ni kulikabili na bado ninarudia usiondoke tumekuzoea mwaaaaah

tena wewe ndo moja ya chanzo, ngoja tu nikupe za uso ukae ukijua kabisa afu unaanza k
https://www.jamiiforums.com
 
My opinions, kupasusa hapa, kwa reasons ulizotoa, ni sawa na kugombana na kimvuli ! Kama sio kumsusia Fisi bucha!
Nachelea kusema nna hakika hao wakukwazao hata sura zenu hamjuani !
Ikuteseje ?

usilolijua ni kama ucku wa giza. . we acha tu mkuu!
 
Nooo!
Please,
think twice chaminglady. We real love you to stay. We need you more than any time. So please kindly stay. Thanx

mkuu ntajitahidi lakin mh, maji nshayavulia nguo sina budi kuyaoga!
 
Judgement hapo umenena mkuu.
Mtu anakukera hata sura wala umbo hulijui ni sawa na kupigana na kivuli.
Cha msingi Ignore them to ur list ndio uamuzi wa mwisho kbs,la sivyo utaendelea kujitesa tu.
Ila mamito don' do ths,
JF NI YA WASTAARABU NA WACHACHE WASO

mamito, najaribu kupingana na maamuz yangu lakin nashindwa, hebu ngoja nijaribu tena!
 
Last edited by a moderator:
beibe nasty kipenzi najua unanipenda sana km shost ako hata me nakupenda, u cant blv nami chozi limenitoka nlivosoma post yako. hebu ngoja nifikirie mara mbili tatu,bt moyo unakataa kweli!
 
Last edited by a moderator:
Plz stay

beibe nasty kipenzi najua unanipenda sana km shost ako hata me nakupenda, u cant blv nami chozi limenitoka nlivosoma post yako. hebu ngoja nifikirie mara mbili tatu,bt moyo unakataa kweli!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom