kwaheri JF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwaheri JF

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by charminglady, Aug 10, 2012.

 1. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  nasikitika kuwataarifu kuwa kuanzia jumapili ya tarehe 12 sitakuwepo tena jf, najipiga ban ya hiyari kwani nimechoka kufuatiliwa. nahisi kuboreka na wanaonibore na wanajijua/wanajifahamu. yan wakipost topic ama kukoment hawachoki kunitaja taja. jaman siwataki hv mkoje! bakini na jf yenu mfurahie bila kuniona ili roho zenu zifurahi. . . . kwaheri ya kutoonana!
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Weka picha na source!
   
 3. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  ,mmmh, Hivi charminglady wewe ni mtu wa kuondoka JF sababu ya watu?
  Ni member gani huyo anakuchokoza? Tema hapa uncle Kaizer amchape!
  Kwanini usiwatoe katika list of friends, hata wakikutag haupati notification?
  Just ignore them bwana, sisi bado tunakuhitaji, please stay, stay, stay!!!

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. S

  Skype JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  You must be kidding
   
 5. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aiseeee mama yangu usiondike achana na hao wajinga wajinaga na madhaifu kama jeeeekeiiii we tuendelee kupeana chakula cha ubongo mama yangu
   
 6. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #6
  Aug 11, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  khe shosti yangu ama kweli kwenye miti hakuna wajenzi watu tunangangania kutajwa af we hutaki! mpaka naenda kusafisha nyota!
   
 7. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #7
  Aug 11, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  kha,wamenichosha mwaya yan haipiti post 2 hao washantaja me sitakiii. . .
   
 8. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #8
  Aug 11, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  nimegundua tatizo, yule kalimanzila aliisafisha nyota yangu mpk ikang'aa km taa ngoja nije nimrudie nimwambie nnavopata shda, yan natongozwa hata na vichaa fresh toka milembe na C1 bugando mwe!!!!!
   
 9. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #9
  Aug 11, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  kumbe usuper star kazi eeeh
   
 10. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #10
  Aug 11, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  yan Mwali nakereka square. tatizo co tag,me natumia cm so hzo tags wala sion ila ukifungua post unakuta washantaja hv wakoje me siwapendiiii jaman!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #11
  Aug 11, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  am not kidding dude, ths is serious!
   
 12. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #12
  Aug 11, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  wananibore aisee! ngoja niondoke ili nyoyo zao zifurahi. . .
   
 13. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #13
  Aug 11, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  umeona eeeh! cjui nimtafte wema sepetu animegee maconfidence ya kuhimili misukosuko ya kutajwatajwa lolest!
   
 14. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #14
  Aug 11, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Usiondoke tumekuzoea.....
   
 15. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #15
  Aug 11, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Mwambie huyo, tena ngoja nimwite wakati ndio sasa....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #16
  Aug 11, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Sasa kipi kinakukera? Huwezi kum-control mtu kwa kile anacho kifanya
  Ni sawa na kusema hupendi jua linavo toka hivo unaamua kukaa ndani
  Ili iweje sasa? utawakimbia JF, utakuta na wengine facebook au twitter
  na hao utawakimbia pia? Just ignore them. wakikutaja hayakuhusu...
  Watu humu ndani wako wazi kutaja na kutajwa, wewe si umejitaja?
   
 17. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #17
  Aug 11, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  aku nshachoka kutajwa tajwa mie, nakosa amani kisa. . . baki na jf yenu !!!!!
   
 18. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #18
  Aug 11, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Mwali bahati nzuri sina akaunt ya facebook wala twitter. huwa nipo jf tu. . . km nilivoamua kujitoa fb mwaka jana may na sasa naamua kujitoa jf kwa hiyari km nilivojiunga kwa hiyari!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #19
  Aug 11, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Haya dada, hatuna budi ila kuheshimu uamuzi wako
  Huko unakoenda msalimie mwalimu wangu FaizaFoxy
  Msalimie cousin wangu Husninyo, mwambie I love her
  Msalimie EMT, muulize habari ya siku nyingi? mzima?
  Msalimie Mod Brialex, na wengine wote walio jitoa JF
   
 20. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #20
  Aug 11, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Natamani ningekutana na wewe maana unavyotetea uhuru wako,kumbuka tu kuwa hapa unaongea na kompyuta sasa huku mitaani ukikumbana na vikwazo kama hivi sijui inakuwaje,kwa mtazamo wangu naona hii ungeichukulia kama changamoto ya kukabiliana na maisha endapo utakutana na hali hii live.Tatizo halikimbiwi hata siku moja bali ni kulikabili na bado ninarudia usiondoke tumekuzoea mwaaaaah
   
Loading...