kwaheri JF

Madame B kwanza heshima yako, hakuna kitu kizuri kama kushare hubby, unakuwa stress free! mi hata nikiondoka mwezi najua Yummy na BADILI TABIA wanahudumia kama kawaida! lol,

Asante cacico,
Ila mda mwingine mitala ni nzuri sana endapo wenzio mnaelewana.
Haya bhana namtakia kila la kheri,japo nina wasiwasi na Asprin wenu, maana si wewe, Yummy wala BADILI TABIA mwenye dalili ya :mimba:
Tuelezeni kwa urefu au mme wenu anaogopa budget itaongezeka?
Eti!!
 
Last edited by a moderator:

Yanini kuhangaikia kulea watoto kipindi hiki? Ngoja kwanza tuponde raha!

BTW ndio nini kupotezeana namna hii??
 
Kweli kabisa nasty watu tunatofautiana sana na siwezi kumlahumu charm kwani sijui ana jisikiaje! Kwa kweli nimesikitika sana.

Kwakweli namuomba mungu amsaidie kutuelewa na penda kumuona kila mwana cc akiwa na furaha na Amani.

Jana tu alikuwa anfuraha ameomba ushauri juu ya malaria leo anatuaga kwanin lakin jamni aaaaah mi sielewi kila mtu anamoyo wake kweli sazingne mtu ankujibu dry au anasema hovyo bt hupaswi kukasirika kuna watu wamezaliwa hivoo na kuwaepuka ni rahis mnooo ni kuwadharau tuu mbona utaishi kwa aman ruta kiukweli mi sijapendezwa kabisaaaa na hiki kitendo cha huyu shoga angu sijapenda hata kutajwa si ushukuru basi ata watu wanakuwaza inamaana hw important u are to them u do affect them in their online life smtm shata kwa live life jaman cl this is my last word to my switi shost pliiiiiz dont gooo away pliiiiz.
 
Yanini kuhangaikia kulea watoto kipindi hiki? Ngoja kwanza tuponde raha!

BTW ndio nini kupotezeana namna hii??

Mponde raha!!???
Ulivyowatoa kwao ulitegemea wakulee mpaka lini?
Hebu wape haki yao wewe,
Yummy:mimba:, BADILI TABIA:mimba: na cacico:mimba: kabla wenzio hawajawekeza.

Sijakupotezea bhana nipo tu na:ranger:mambo yako huku.
 
Last edited by a moderator:
ngoja nijiite angrylady ili nisisumbuliwe kha!

Hahaha That could be better. But the way you sound ni kama umeshapata solution so hatutakupoteza tena. Si ndio......nachelea kutaja jina usije sema nakutajataja na mimi kama hao wengine. Cheeeeeeers!!!!!!!
 
asante, address yangu ni
s.l.p 2015 mwanza.
nyumba namba 12,
mtaa wa nyakurunduma
kijiji cha nyamwilolelwa
kata ya nyangh'olong'o
ubalozi wa mpolampolantondo
mwenye nyumba anaitwa suba

kumbe jirani yangu!!. asante sana. ntakutafuta jioni. mia
 
Mponde raha!!???
Ulivyowatoa kwao ulitegemea wakulee mpaka lini?
Hebu wape haki yao wewe,
Yummy:mimba:, BADILI TABIA:mimba: na cacico:mimba: kabla wenzio hawajawekeza.

Sijakupotezea bhana nipo tu na:ranger:mambo yako huku.

Nilikupenda sana madame B, lakini nmeamua kumfata charm wangu. kuanzia jumapili hamtaniona tena. kwaherini. Mia
 
Last edited by a moderator:
Aaah! nijikute tu naondoka halafu Bishanga nimwachie nani?ingekuwa kutajwatajwa unaachia ngazi Bishanga angekuwa ameachia ngazi inabidi mtu kukomaa kiakili na kuface challenges kwanza tupo kichit chat zaidi
 
mzima weye??
 
Nani huyo malabuku zake? Anafunika shimo la Panya kwa mkate? Hahahahaha!! Usisome signecha yangu, nimeidediketia mtu flani hivi LOL
nitakuPM nikwambie! anaanzia na 'S' ila usimng'oe macho, msamehe hubby! ngoja aiangalie hiyo nilivyokuwa UD!
 
Back
Top Bottom