Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,216
- 7,908
Ulishawahi kujiuliza ni kwa nini kwenye sherehe za kitaifa mfano sherehe za uhuru Rais ambaye pia ni amiri Jeshi mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama huingia uwanjani kwenye gari la wazi akiwa ameambatana na CDF, hukagua gwaride la Majeshi ya ulinzi na usalama akiwa na CDF na hata anapoketi jukwaani pembeni yake anakaa CDF? Afu jiulize pia kwanini siyo IGP, mkuu wa magereza,nk?Kama ni mkuu wa majeshi yote mbona sijawahi kumuona ametembelea polisi au magereza?