Kwaheri Biashara ya Utalii Tanzania....

Kwaheri Biashara ya Utalii Tanzania....

Sio Mungu huyo au Malaika kusema kwamba hakosei. Vitu vingine muone hata aibu kutetea sio kila kitu anakijua
Hamna kitu kama hicho Magufuli sio mjinga mpaka akosee na hafanyi haya kwa ajili yake Bali kwa taifa Zima.tatizo lenu nyie mnajifanya mnajua kila kitu

Hata msemaje sisi tuna imani na Rais wetu
 
shit:::::hole
 
SASA WAZIRI ANAULIZWA SWALI "ANASEMA USITAKE NIINGIE KWENYE HUO MTEGO NA WANAOKUTUMA" KWA MWENDO HUO UNATEGEMEA MATOKEO GANI UYATARAJIE ZAIDI YA KUTRAKIANA KWENYE SIMU
 
Basi Afrika kusini wangekuwa zaid ya Zimbabwe
Wao ukifika Airport unabadilisha hairuhusiwi kukaa na hela za kigeni kwa masaa zaid ya masaa 72
Watanzania tuacheni ujuaji mwingi.!
Hiyo hela ya south Africa iko strong, inajibeba!
Kajaribu kununua bidha dubai kwa Tsh.
Lakini Rand wanapokea.
 
Hamna kitu kama hicho Magufuli sio mjinga mpaka akosee na hafanyi haya kwa ajili yake Bali kwa taifa Zima.tatizo lenu nyie mnajifanya mnajua kila kitu

Hata msemaje sisi tuna imani na Rais wetu
Sema mimi, kwani mpo wangapi mlioandika? Acha uzuzu kijana
 
Angalia kwanza hiyo ID yake kwanza ndiyo utajua
Hiyo hela ya south Africa iko strong, inajibeba!
Kajaribu kununua bidha dubai kwa Tsh.
Lakini Rand wanapokea.
 
Hamna kitu kama hicho Magufuli sio mjinga mpaka akosee na hafanyi haya kwa ajili yake Bali kwa taifa Zima.tatizo lenu nyie mnajifanya mnajua kila kitu

Hata msemaje sisi tuna imani na Rais wetu
We kama siyo mwehu basi ni zezeta!!!!
 
Kwa hili la kuingilia biashara ya fedha za kigeni kuna maana mbaya specifically kwa utalii Tanzania na biashara zote kwa ujumla. Leo hii serikali ya Magufuli imezindua rasmi black (parallel) market ya fedha za kigeni and by extension kuhamishia biashara zenye mwelekeo wa Kimataifa nchi za jirani. Kama kuna watu wanashangilia sasa hivi ni jirani zetu north of our boarder.

Seems the Magufuli regime's solution to the current economic woes is this one here below:
View attachment 939505
KARIBU ZIMBABWE YA MUGABE in a few months to come.
Yaani nchi yetu inateketezwa na watu ambao wao wenyewe ama wazazi wao hawakushiriki kuijenga , halafu na sisi tunaangalia tu !
 
Hata ukiamini Kenge ni Mungu wako hamna tatizo Mkuu hilo ni Suala la Kiimani na hakuna wa kukuingilia Uhuru wako wewe amini tu chochote kile.
Sasa utalii unaathirika vipi hapo?
Hizo bureau si ndio vichaka vya utoroshaji pesa na utakatishaji pia.
Bado hatujamsahau mrema wa impala R.I.P.
Enzi zake ukiifikisha hela yoyote kwake ilikuwa tayari ni safi na salama.
Ile bureau ya kavishe pia iliwahi kutumika kupiga mamilioni ya TNP enzi hizo.
Hivi sasa hizi bureau nyingi zinatumika na watorosha fedha nje na tunajuwa rais wetu anapigana vita ya kiuchumi na maadui zake wakubwa ni nyunyi hao hao so wacha mbanwe vixuri maana mkibanwa korosho mnajipanga upya....
 
Hamna kitu kama hicho Magufuli sio mjinga mpaka akosee na hafanyi haya kwa ajili yake Bali kwa taifa Zima.tatizo lenu nyie mnajifanya mnajua kila kitu

Hata msemaje sisi tuna imani na Rais wetu
Duh,utakuwa unaishi kwa shemeji yako wewe!
 
Sasa utalii unaathirika vipi hapo?
Hizo bureau si ndio vichaka vya utoroshaji pesa na utakatishaji pia.
Bado hatujamsahau mrema wa impala R.I.P.
Enzi zake ukiifikisha hela yoyote kwake ilikuwa tayari ni safi na salama.
Ile bureau ya kavishe pia iliwahi kutumika kupiga mamilioni ya TNP enzi hizo.
Hivi sasa hizi bureau nyingi zinatumika na watorosha fedha nje na tunajuwa rais wetu anapigana vita ya kiuchumi na maadui zake wakubwa ni nyunyi hao hao so wacha mbanwe vixuri maana mkibanwa korosho mnajipanga upya....
Uthibitibishaji wa kutorosha fedha nje unaweza kufanywa bila ya kutumia ubabe.

Wire transfer lazima utumie mtandao. Kuna namna ya serikali kujua kiasi gani pesa imeondoka nje kwa kutumia teknolojia ya bei rahisi tu.

Pia kuna sheria ambazo wanaweza kutunga za kuwaadhibu wafanyabiashara kama hawapeleki CC ya hio Wire Transfer Benki Kuu. Pia wanaweza kufanya iwe inapeleka copy benki kuu automatic ikitumia software ya Benki Kuu.

Picha za wanajeshi madukani, japo wapo kwa nia nzuri, inawastua wageni ambao watapiga picha na kusambaza "fake news" katika mitandao kuwa Tanzania si nchi ya amani. Instagram itajaa picha na hadithi za watalii waliosumbuka kubadili fedha zao.

Kuna msemo wa Kiingereza " a picture is worth a thousand words".

Picha ina thamani ya maneno elfu moja. Maneno elfu moja yatakayohatarisha uchumi wa utalii Tanzania.
 
Yanayotokea sasa ni mambo mapya kwa Taifa letu ambayo hatukuwahi kuyashuhudia huko nyuma.
Ni maamuzi ambayo huenda yakawa na matokeo chanya sana.. Au hasi sana..
Tukatize vidole!
 
Sasa utalii unaathirika vipi hapo?
Hizo bureau si ndio vichaka vya utoroshaji pesa na utakatishaji pia.
Bado hatujamsahau mrema wa impala R.I.P.
Enzi zake ukiifikisha hela yoyote kwake ilikuwa tayari ni safi na salama.
Ile bureau ya kavishe pia iliwahi kutumika kupiga mamilioni ya TNP enzi hizo.
Hivi sasa hizi bureau nyingi zinatumika na watorosha fedha nje na tunajuwa rais wetu anapigana vita ya kiuchumi na maadui zake wakubwa ni nyunyi hao hao so wacha mbanwe vixuri maana mkibanwa korosho mnajipanga upya....

Yote uliyo yataja yana bakia kuwa tuhuma tu ,tuna Jeshi la Polisi na tuna Mahakama ni kwa nini hawaja fikishwa huko kwa hatua za Sheria ?.
 
Back
Top Bottom