Kwaheri Biashara ya Utalii Tanzania....

Kwaheri Biashara ya Utalii Tanzania....

Alifanya hivyo kwenye sukari, mafuta ya kula, mahindi, kwenye korosho amekuja kujiokoa mwishoni lakini bado kuna dhuluma kubwa inayoendelea uko Kusini.
Sasa anaenda kuua utalii uko Arusha, kila kitu anachogusa kina kufa.
Everything he touch turns to gold eti eee
Just joking
 
Kwa hili la kuingilia biashara ya fedha za kigeni kuna maana mbaya specifically kwa utalii Tanzania na biashara zote kwa ujumla. Leo hii serikali ya Magufuli imezindua rasmi black (parallel) market ya fedha za kigeni and by extension kuhamishia biashara zenye mwelekeo wa Kimataifa nchi za jirani. Kama kuna watu wanashangilia sasa hivi ni jirani zetu north of our boarder.

Seems the Magufuli regime's solution to the current economic woes is this one here below:
View attachment 939505
KARIBU ZIMBABWE YA MUGABE in a few months to come.
Magufuri endelea kukaza uzi, wapiga dili wote watoke barabarani.
 
Alifanya hivyo kwenye sukari, mafuta ya kula, mahindi, kwenye korosho amekuja kujiokoa mwishoni lakini bado kuna dhuluma kubwa inayoendelea uko Kusini.
Sasa anaenda kuua utalii uko Arusha, kila kitu anachogusa kina kufa.
Bado kukugusa wewe tu[emoji135][emoji135][emoji135]ufe.
 
Unalalamikia usichokijua,watu wanapata taarifa za kiintelijensia jinsi wajanja wachache wanavyojineemesha kinyume cha sheria ninyi mnapiga makelele. Kila MTU anajidai mwanauchumi skuiz!! Ndiyo maana Rais anatamani mitandao izimwe kwa mda hivi hujajua sababu lkn maneeeeno nilini mtajifunza kutulia na kujifunza kabla ya kukosoa hovyohovyo??
Taarifa za udaku kamahizi zinaweza leta taharuki isiyo na mantiki na kuvuruga sekta kisa mawazo ya wajinga wachache wasioelewa maana
 
Back
Top Bottom