Zakaria Lang'o
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,593
- 2,770
Court jesters kazi yao Ni kumchekesha mfalme hata kama kill mmoja anajua you uchi. Kwenye madini na korosho mmecheka Sana, matokeo hopelessness.Hamna kitu kama hicho Magufuli sio mjinga mpaka akosee na hafanyi haya kwa ajili yake Bali kwa taifa Zima.tatizo lenu nyie mnajifanya mnajua kila kitu
Hata msemaje sisi tuna imani na Rais wetu