Kwaheri Biashara ya Utalii Tanzania....

Kwaheri Biashara ya Utalii Tanzania....

Teh kuna watu wana mihemuko,

-ukiwafuatilia unaweza kuwaamini wao

-kwamba inatakiwa tuogope hata kurekebisha mambo yetu wenyewe, kwa kuogopa tutaonekanaje kwa wazungu,

-
 
Utaelewa wapi wewe mambo ya biashara? Subiri mzee meko aseme ujinga wake ili wewe ushangilie.

hapo ni biashara au uchumi?
kwa taarifa yako sasa, exchange rate ya dola ya Iringa ni ndogo kuliko Arusha. lask December i visited both towns. in ir was 2200 in ar was 2270.
 
Lakini jaman hebu tuache kwanza tuone manake japo simpendi lakin kama naanza kumkubali vile,, tulianza mkebehi kwenye ndege ila kwa sasa naona kama tumekubali, tukaja kwenye madaraja naona tushakubali,,wafanyakazi hewa, sukari...korosho..hebu wacha tumuone kwenye hili nalo
 
Zoezi muhimu sana,mnunuzi wa dollar aende benk zinapatikana tu wala haina shida.
Mmezoea kutumiwa na wenye fedha chafu kujitajilisha.
 
Uzuri wa nchi hii kila mtu ni mjuaji na msemaji wa serikali.
 
Hata ukiamini Kenge ni Mungu wako hamna tatizo Mkuu hilo ni Suala la Kiimani na hakuna wa kukuingilia Uhuru wako wewe amini tu chochote kile.
Tuna imani na Dr Magufuli kwa 100%
 
Back
Top Bottom