Ngumu kuamini, lakini ndio hivyo.Unachanganyikiwa boss cheki fresh

Huyu ndiye aliyekuwa Igp wa ovyo ambae haijapata kutokea toka tuingie katika mfumo wa vyama vingi huyu alihusika na kila uovu uliofanyika wakati wa magufuli tunamuomba Mungu amlipe anavyostahili kwa mabaya yote aliyoyasimamia.Nimeona kwenye mitandao ya Kijamii kuwa umeagwa rasmi ndani Jeshi la Polisi, tunakupongeza kwa utumishi wako!!
Naomba nikukumbushe,yule uliyekuwa unampiga vita Sana na kumpelekea maneno ya majungu kwa Rais JPM dhidi yake na kwa kuwa ulijua kuwa ni tishio kwako ndio amekuwa IGP wa Sasa! Kwa hiyo, Jioni wakati unahitimisha siku yako ya kuagwa,jaribu ukae nae na umwambie asahau yaliyopita mgange yajayo!!
Pia, nikudokeze kuwa wale Askari wa Zanzibar uliowaweka miezi 4 mahabusu kwa amri ya kwako binafsi kupitia kwa yule ofisa uliyemtuma kutoka Makao Makuu-Dodoma watakufilisi walikuwa wanaisubiri siku ya leo!!
Yule ofisa uliyemtuma alivyokuwa mjanja,hakuacha maandishi popote pale katika sakata lote lile,na mpaka linafikishwa Mahakama hayupo katika orodha ya mashahidi ingawa yeye ndie alikuwa kocha Mkuu kwa niaba yako.
Mwisho, nakutakia kila la kheri katika Kustaafu kwako!!
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Si shaka wewe ni police mnafiki, unateta tena manenoNimeona kwenye mitandao ya Kijamii kuwa umeagwa rasmi ndani Jeshi la Polisi, tunakupongeza kwa utumishi wako!!
Naomba nikukumbushe,yule uliyekuwa unampiga vita Sana na kumpelekea maneno ya majungu kwa Rais JPM dhidi yake na kwa kuwa ulijua kuwa ni tishio kwako ndio amekuwa IGP wa Sasa! Kwa hiyo, Jioni wakati unahitimisha siku yako ya kuagwa,jaribu ukae nae na umwambie asahau yaliyopita mgange yajayo!!
Pia, nikudokeze kuwa wale Askari wa Zanzibar uliowaweka miezi 4 mahabusu kwa amri ya kwako binafsi kupitia kwa yule ofisa uliyemtuma kutoka Makao Makuu-Dodoma watakufilisi walikuwa wanaisubiri siku ya leo!!
Yule ofisa uliyemtuma alivyokuwa mjanja,hakuacha maandishi popote pale katika sakata lote lile,na mpaka linafikishwa Mahakama hayupo katika orodha ya mashahidi ingawa yeye ndie alikuwa kocha Mkuu kwa niaba yako.
Mwisho, nakutakia kila la kheri katika Kustaafu kwako!!
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Vipi ashtakiwe kama yeye, ili hali wakati anawaweka aliwaweka kama IGP? tupe ufafanuzi.....Sio Kwamba Nina chuki na Balozi hapana,ninamtakia kila la kheri,nimempa tu dondoo kitu kinachoendelea!!
Wale Askari wanamshtaki yeye Kama yeye na sio Kama IGP Wala Balozi!,aliwaweka Askari 11 mahabusu kwa miezi 4 bila ya hatia Wala kuwasikiliza!!,wanampiga Unlawful dentention!!PGO yao inasema Askari haruhusiwi kuweka mahabusu zaidi ya 24!!
Anyway,tuliache hili,na Kipindi kile Musiba ilikuwa hivi hivi!!
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Hiyo kesi inafunguliwa wapi na inapelekwa mahakama Gani kusikilizwa....???🇹🇿Sio Kwamba Nina chuki na Balozi hapana,ninamtakia kila la kheri,nimempa tu dondoo kitu kinachoendelea!!