Idofu
Senior Member
- Oct 24, 2022
- 124
- 214
Nimeona kwenye mitandao ya Kijamii kuwa umeagwa rasmi ndani Jeshi la Polisi, tunakupongeza kwa utumishi wako!!
Naomba nikukumbushe,yule uliyekuwa unampiga vita Sana na kumpelekea maneno ya majungu kwa Rais JPM dhidi yake na kwa kuwa ulijua kuwa ni tishio kwako ndio amekuwa IGP wa Sasa! Kwa hiyo, Jioni wakati unahitimisha siku yako ya kuagwa, jaribu ukae nae na umwambie asahau yaliyopita mgange yajayo!!
Pia, nikudokeze kuwa wale Askari wa Zanzibar uliowaweka miezi 4 mahabusu kwa amri ya kwako binafsi kupitia kwa yule ofisa uliyemtuma kutoka Makao Makuu-Dodoma watakufilisi walikuwa wanaisubiri siku ya leo!!
Yule ofisa uliyemtuma alivyokuwa mjanja,hakuacha maandishi popote pale katika sakata lote lile,na mpaka linafikishwa Mahakama hayupo katika orodha ya mashahidi ingawa yeye ndie alikuwa kocha Mkuu kwa niaba yako.
Mwisho, nakutakia kila la kheri katika Kustaafu kwako!!