Kwa yoyote mwenye taaluma hii naomba msaada....

Kwa yoyote mwenye taaluma hii naomba msaada....

kalamata

Senior Member
Joined
Apr 16, 2011
Posts
144
Reaction score
29
Ndugu zangu naomba msaada wenu,Inshort mimi si mjuzi sana wa kutumia comp,Laptop yangu imekorapt vibaya mno sasa nimeshauriwa nimtafute mtu mwenye Laptop model kama yangu then anisaidie kunipa Back up CD,nimesumbuka huu mwaka wa tatu sijafanikiwa,sasa wana JF kama yupo yoyote naomba msaada wake,model ya laptop yangu ni

TOSHIBA SATELLITE A 300-14s
window vista

kwa yotote mwenye hio model naomba tuwasiliane kwa namba hii 0655 427014
nitashukuru kwa msaada wenu,kumbuka mmsio mtaalam saana wa haya mambo,lkn nafahamu kidogo
 
Kama sio mtaalam basi nakushauri ipeleke kwa fundi maana OS kucorrupt wala sio tatizo kubwa maana inahitajika kurudishia tu hiyo OS. Kama ungekua na Idea basi tungekusaidia hata kupata cd ya Window ili urudishe wewe mwenyewe. Au kunatatizo gani zaidi?
 
Mh...mbona tatizo lako ni dogo sana???

Tafuta mtaalamu wa mambo ya software akusaidie...sihu yako si kubwa sana labda kama kuna maelezo umeyaficha hapa....
 
kama uko dar naweza kukusaidia bure kiroho safi just ntafte
 
Mdau pole sana ila ndio kupatwa na majanga ndio kujua majanga. Ki mpango wangu naomba nikishauri usihangaike tena na Windows Vista hamia Windows 7 kwa maana Laptop inayoweza kubeba Windows Vista kwa uhakika asilimia 80 itabeba na kusukuma Windows 7.

Nawakilisha.
 
Unatumia oS ya muda mrefu sana, na usishangae inaweza kuwa inacorrupt mara kwa mara, maybe due to less maintainance. Nakushauri utafute cd za latest windows 7/8 na uinstal. Ili kupata new updates and support kirahisi. Watu walishatoka huko kwenye vista siku mingi sana .
 
Ingekuwa vizuri useme tatizo lako hapa upewe ushauri mzuri wa kufanya.kusema tu ime corrupt unataka back up cd hau eleweki.kwa sababu kama ni window ina solvika na kama ni mashine ina solvika pia kwa kutumia manufacturer page.kama ulijaribu kuweka window ikakata unatKiwa ujue kuna mashine zina chagua window hvyo ni jukumu la atakae kuwekea achunguze kama tatizo ni hilo.
 
Back
Top Bottom