Kwa wote mabachela wenzangu hii inawahusu!!

Kwa wote mabachela wenzangu hii inawahusu!!

cantonna

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2013
Posts
1,120
Reaction score
439
Hiv umeishaplani kuwa ukiwowa mkeo utakuwa unamgegeda mara ngap kwa siku...??
 
Ukiwowa?

Are you a comedian?

Btw, nasubiri siku na saa vikifika..

Forecasting nyingine hazina maana!

Hiv umeishaplani kuwa ukiwowa mkeo utakuwa unamgegeda mara ngap kwa siku...??
 
Nikiwa shule ya msingi nilikua nimepania .. nikiwa mkubwa ntakula nazi hadi zinikome.... lakini ata ukinipa pamoja na hela juu sina ata muda nazo.

Kuna vitu vinahitaji kukua kiakili ndio uone ujinga uliokua unauwaza kabla.... Sasa wewe baada ya muda utashangaa mbona ulikua unawaza kitu cha kijinga ivo?

Hiv umeishaplani kuwa ukiwowa mkeo utakuwa unamgegeda mara ngap kwa siku...??
 
Man 2 cardif 0

Asante sana mkuu Kaiser tunabadilisha upepo wa mada kabisa

Najua mtaanza mbwembwe zenu... oooh ndio tumeanza ligi nini nini.... mkifungwa tena mnaanza ooh Moyes hafai hafai...

Hongereni bhana kwa ushindi.


Mbona umeanza visa sasa mkuu
Ushindi ni ushindi tuu na tukifungwa pia tunakubaliana na hilo na wala hatujalalamika
 
Last edited by a moderator:
wakati mnafikiri mtafanya mara ngapi kwa siku, ngoja tuzidi kuvuta mkwanja sie kwa raha zetu.
 
Hakika Moderator wa hili jukwaa wamechoka aisee... Mada zingine ziwe zinamuvuzishwa kwenye majukwaa husika....
 
Jana Man u walishinda. Uwezo wa Mata ulianza kuonekana jana
mkuu hawa wadogo wanatuchanganya na thread zao ambazo sasaunajiuliza ujibu nini bora tuanzishe mjadala humu humu waone kuwa wamechemsha Nicas Mtei
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom