Kwa wote mabachela wenzangu hii inawahusu!!

Kwa wote mabachela wenzangu hii inawahusu!!

Hivi shule hazijafunguliwa? Au huyu kamaliza form 4 kwa hioy anasubiri division 5 yake?
 
Nikiwa shule ya msingi nilikua nimepania .. nikiwa mkubwa ntakula nazi hadi zinikome.... lakini ata ukinipa pamoja na hela juu sina ata muda nazo.

Kuna vitu vinahitaji kukua kiakili ndio uone ujinga uliokua unauwaza kabla.... Sasa wewe baada ya muda utashangaa mbona ulikua unawaza kitu cha kijinga ivo?
Kaka umesema kweli tupu. Nilipokuwa primary school nilikuwa nikimuona mwanamke mwenye makalio makubwa yanayopendeza, nilikuwa siamini kuwa mwanamke wa aina hiyo anakwenda chooni kuny....... Na Siku zote nilikuwa najisemea moyoni kuwa mke nitakayeoa hawezi kuwa anakuny.......... Jamaa ni mbulula kweli kweli
 
Back
Top Bottom