Kwa wenyeji wa Sumbawanga mjini na wilaya zake

Ndama dume

JF-Expert Member
Nov 1, 2019
858
1,480
Habarini wakuu polen na pilika za kampeni hizi zinafurahisha na kuhuzunisha pia .
Naomba kwenda moja kwa moja kwenye mada naomba kujuwa kwa uhitaji wa huduma za IT kwa mkoa huu ikiwemo kufanya programing na networkng soko lake likoje na vipi kuhusu mazingira ya huko na vyumba vya kupanga kwa kuishi na watu wa huko haswa tabia zao zikoje? Naomba kujua haya nina mawazo ya kwenda kufungua ofisi huko so natamani kujua mahitaji muhimu hasa na kupata wenyeji pia itakuwa nzuri zaidi
 
Back
Top Bottom