Mwezi wa saba naenda Mayotte, wenyeji nisaidieni

chakula cha watoto

JF-Expert Member
Apr 25, 2023
462
974
Kwa ambao hamuijui Mayotte kama mimi ni kuwa Mayotte ipo Comoros ila inamilikiwa na Ufaransa na Rais wao ni Emmanuel Macron. Kwahiyo mimi hapa Tanzania kila siku nawaza kuhama tuu niende mamtoni mambele hukoo hapa mm siwez kuishi. Nilipata jamaa mmoja hivi akasema kama nataka kwenda Ulaya sehemu rahisi kwenda ni Ufaransa

Nikauliza Ufaransa naendaje akasema nisiende moja Kwa moja ila inabidi nipitie comoro ambayo ni Afrika na hauhitaji visa kwenda Comoro ni passport yako tu, ukifika Comoro fikia sehemu inaitwa Mayotte pia unaenda bila VISA, baada ya hapo ni rahisi kuruka tu kama kilometer Mia hivi unakuwa jiji la PARIS Ufaransa tayari nitakuwa nishafika Ulaya.

Hata kama nikafika Paris bila visa ila ukishafika huko utapata makaratasi tuu lazima kwakuwa utapata wenyeji wa kukuelekeza jinsi ya kupata visa. Asanteni.


Screenshot_20240115-083830.jpg
 
Simple tu namna hiyo eti
Ndio kaka ila kabla ya kwenda nataka nimpate mwenyeji kwanza maana balance yangu yakujiacommodate itakuwa ndogo Kwa sehem ambayo sijawahi kufika kabisa, nahitaji kuandaa kama million tano hivi kitu ambacho haitoshi, ko kama Kuna host Nitashukuru jamani hapa bongo nimechokaa mm kazi yoyote nitafanya hata kupara magamba ya samaki Sawa tu
 
Kwa ambao hamuijui Mayotte kama mimi ni kuwa Mayotte ipo Comoros ila inamilikiwa na ufaransa na Rais wao ni Emmanuel macron. Kwahiyo mm hapa Tanzania kila siku nawaza kuhama tuu niende mamtoni mambele hukoo hapa mm siwez kuishi. Nilipata jamaa mmoja ivi akasema kama nataka kwenda ulaya sehemu rahisi kwenda ni ufaransa

Nikauliza ufaransa naendaje akasema nisiende moja Kwa moja ila inabidi nipitie comoro ambayo ni Africa na hauhitaji visa kwenda comoro ni passport yako tu, ukifika comoro fikia sehemu inaitwa Mayotte pia unaenda bila VISA, baada ya hapo ni rahisi kuruka tu kama kilometer Mia hivi unakuwa jiji la PARIS ufaransa tayari nitakuwa nishafika ulaya

Hata kama nikafika Paris bila visa ila ukishafika huko utapata makaratasi tuu lazima kwakua utapata wenyeji wa kukuelekeza jinsi ya kupata visa. Asanteni


View attachment 2872335
Jidanganye
 
Sasa kwani humu JF ndipo unatafuta msaada au unatafuta wateja wa kuwapiga?

Simply, kama kweli una nia ya kwenda nje ya nchi ungeenda ofisi zinazoshughulikia masuala ya Kimataifa na siyo kuja kutafuta wa kuwapiga hela humu.
Ofisi za kimataifa watakwambia ili uende ufaransa Fata utaratibu wa visa Sasa napata Wapi sababu za kuwashawishi Nipewe visa? We jamaa mshamba sana hujui humu ni rahisi Wajuba kukuelekeza simple way ya kuruka majoka kuliko hata hao wavaa Makoti
 
Ndio kaka ila kabla ya kwenda nataka nimpate mwenyeji kwanza maana balance yangu yakujiacommodate itakuwa ndogo Kwa sehem ambayo sijawahi kufika kabisa, nahitaji kuandaa kama million tano hivi kitu ambacho haitoshi, ko kama Kuna host Nitashukuru jamani hapa bongo nimechokaa mm kazi yoyote nitafanya hata kupara magamba ya samaki Sawa tu
Namna hiyo safi.
Zama airBNB labda? Watz walioporo comoro wapo ila mayotte sidhan..ila hao waliopo comoro ndiyo wanaweza kukupa konee ya mayotte ukapata host. Ila ka vp we jilipue tu usitegemee sana mpaka upate mtu. Ukouko utapata wadau. Kila kitu kina chanzo..ww kua chanzo cha kuja kuwapa konee/host wengine mbeleni
 
Ingekuwa ni cheap kiasi hicho, wananchi wote walioko Mayotte wangekuwa wameshaamia Paris France
Wanaenda ndiooo kwani ajabu nini? Uliwauliza wakakwambia hawaendi? Kwahiyo unataka watu wote waondoke Mayotte nakati Kuna fursa nyingi yamkin kuliko Paris kwass watu wa hali ya chini

Hata Leo marekani ikisema watanzania wote ruksa kwenda nauli ni bure bado wengi tu hawataenda kulingana na kipaombele cha mtu Kwa kuzingatia fursa anazoziona yeye
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom