Heisenberg
JF-Expert Member
- Apr 26, 2017
- 1,688
- 2,981
we gari unayo mkuu?
Ukikua utaachana na uwoga ulionao nyie ndio mnaoendekeza mfumo dume mwanamke kuendesha gari hakuna uhusiano na kupata ajali yeyote anaweza kupatwa. Na barabarani unaweza kuwa makini sana na sahihi na ukapata ajali kuna muda huwezi kuepuka ajali
Sent from my HUAWEI TIT-U02 using JamiiForums mobile app
Ninamuamini. Na nimeshakaa kushoto mara kibao. Issue ni akiondika yeye bila mm kuwepoUnamashaka na control yake ama umakini wake barabarani.? Vp hujawahi kutoka nae akiwa anadrive yy nakuona umakini wake
Kama anaweza kuendesha maisha yako vp ashindwe kuendesha Huyo mjapani.Maisha yana changamoto nyingi sana. Changamoto sio kukosa mlo tuu, kila mtu ana changamoto yake.
Changamoto yangu mimi ni wife akitoka na gari. Huwa roho inaniuma hadi atakapokuwa amerudi nyumbani salama.
Maana huwa nakuwa standby kusubiri simu kuwa kapata majanga au laaah
Yani huo muda huwa nakuwa siwezi kufanya kitu, huwa nakuwa karibu na simu zangu mbili.
Na kama kaondoka na dada wa kazi na mtoto hapo ndo huwa nalia kabisa. Roho haitulii kabisa.
Nawaza kama watarud salama au laah hasa nikizingatia mabodaboda yalivyo mengi na uendeshaji wa ovyo, maroli makubwa na changamoto nyingine za barabarani.
Kumkoma nyani geradi
Kwani hata vanguard inajiendesha yenyewe??Labda kwasababu gari yenyewe PASSO ndiyo maana unaogopa
Hakuna watu makini barabani kama wanawake.. kaka ondoa shaka kabisa..Maisha yana changamoto nyingi sana. Changamoto sio kukosa mlo tuu, kila mtu ana changamoto yake.
Changamoto yangu mimi ni wife akitoka na gari. Huwa roho inaniuma hadi atakapokuwa amerudi nyumbani salama.
Maana huwa nakuwa standby kusubiri simu kuwa kapata majanga au laaah
Yani huo muda huwa nakuwa siwezi kufanya kitu, huwa nakuwa karibu na simu zangu mbili.
Na kama kaondoka na dada wa kazi na mtoto hapo ndo huwa nalia kabisa. Roho haitulii kabisa.
Nawaza kama watarud salama au laah hasa nikizingatia mabodaboda yalivyo mengi na uendeshaji wa ovyo, maroli makubwa na changamoto nyingine za barabarani.
Kumkoma nyani geradi
Kwa ukibaki na house girl ndo wasiwsi unapungua