Kwa wenye uhitaji wa kuagiza magari nje ya nchi

mew 123

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2024
Posts
307
Reaction score
193
Habari
Nimeandaa Uzi huu katika jukwaa hili Kwa lengo kuu Moja kutoa msaada na huduma Kwa wale wote ambayo watakuwa wanahitaji kuagiza magari nje ya nchi
Mosi watapewa ushauribwa kitaalamu na kuweza kuchukua uamuzi WA busara lkn pia watapewa Elimu ya Kodi ili kujua kipi wafanye kabla ya kuagiza gari
Utaweza kuagiza gari Toka nchi mbali mbali kama vile Japan China na marekani

Unaweza agiza Toka kampuni tofauti tofauti kama vile Toyota Nissan na Subaru
Pia tutakusaidia kwenye usajili wa gari lako

Karibu
0686153806
OZB BE FORWARD AGENT
 
Attachments

  • Screenshot_20250531-161945.jpg
    Screenshot_20250531-161945.jpg
    340.8 KB · Views: 36
Napenda kufahamu jambo moja vizuri zaidi, bei inayoonekana kwenye website kama befoward sbtjapan n.k mfano gari ni 5M na makadirio ya gari husika kutoka TRA kwa mujibu wa ile calculator ya ushuru wa magari used mfano nayo kwa gari husika ni 5M tafsiri yake ni kuwa nikiagiza gari nikiwa na hiyo total hapo inatosha kunifanikishia kupata gari hadi mkononi na usajili kabisa au kuna gharama nyengine tofauti?
 
Habari
Nimeandaa Uzi huu katika jukwaa hili Kwa lengo kuu Moja kutoa msaada na huduma Kwa wale wote ambayo watakuwa wanahitaji kuagiza magari nje ya nchi
Mosi watapewa ushauribwa kitaalamu na kuweza kuchukua uamuzi WA busara lkn pia watapewa Elimu ya Kodi ili kujua kipi wafanye kabla ya kuagiza gari
Utaweza kuagiza gari Toka nchi mbali mbali kama vile Japan China na marekani

Unaweza agiza Toka kampuni tofauti tofauti kama vile Toyota Nissan na Subaru
Pia tutakusaidia kwenye usajili wa gari lako

Karibu
0686153806
OZB BE FORWARD AGENT
🙏🙏🙏
 
Napenda kufahamu jambo moja vizuri zaidi, bei inayoonekana kwenye website kama befoward sbtjapan n.k mfano gari ni 5M na makadirio ya gari husika kutoka TRA kwa mujibu wa ile calculator ya ushuru wa magari used mfano nayo kwa gari husika ni 5M tafsiri yake ni kuwa nikiagiza gari nikiwa na hiyo total hapo inatosha kunifanikishia kupata gari hadi mkononi na usajili kabisa au kuna gharama nyengine tofauti?
Hapana hiyo total haitosh maana unapaswa ujumlishe na Kodi ya tra na Bado kuna gharama zingine kama insurance na clearance and to forwarding
 
Naomba kujua gharama ya Mitsubishi outlander new model bei yake, mpaka sasa nina 20m cash bado naendelea kukusanya.
Mkuu Kwa new movie del Bei yake inaanzia milioni 200 lkn Bado Kwa hela Yako unaweza PATA gar Zur lkn model ya zamani kidogo
 
Outlander mbona cheap unapata kama vipi angalia na RVR za 2010-2011 bei zake izo gari nzuri ile
Mkuu sorry nimeiona
MITSUBISHI RVR
2010
GA3
24M
 
Attachments

  • BY243891_a942c3.jpg
    BY243891_a942c3.jpg
    27.2 KB · Views: 26
  • BY243891_b93636.jpg
    BY243891_b93636.jpg
    5.7 KB · Views: 31
  • BY243891_581f0a.jpg
    BY243891_581f0a.jpg
    6.4 KB · Views: 36
  • BY243891_3ca40a.jpg
    BY243891_3ca40a.jpg
    6.1 KB · Views: 31
Hapana hiyo total haitosh maana unapaswa ujumlishe na Kodi ya tra na Bado kuna gharama zingine kama insurance na clearance and to forwarding
Nimekupata japo kwenye huo mfano wangu kodi ya tra nimeiongelea ukirejea ujumbe vizuri ambapo niliweka mfano bei ya gari 5M na bei ya kodi 5M, kwahiyo baada ya total hizi ndo inasalia ishu za clearing and forwarding kwa mujibu wa jibu lako mkuu au sio? Na gharama za clearing and forwarding hizi nazo zinategemea gari husika au zikoje?
 
No gharama za clearance and forwarding zinategemea na agent mwenyewe ingawa most of them gharama zao ni 250,000
 
Back
Top Bottom