Kwa wenye taarifa ya vifo vya waandishi habari wanijuze

mogulnoise

JF-Expert Member
Oct 28, 2014
2,434
5,535
Imepita miezi kadhaa sasa tangu mtumishi wa Mungu Lusekelo a.k.a mzee wa upako atamke kuwa waandishi wote wa habari waliomuandika vibaya watakufa alihakikisha lazima wafe akaenda mbali zaidi na kusema.

"Kama wasipokufa atarudi kwao kuanzisha biashara ya kuuza gongo"

Binafsi ni juzi nilimsikia baada ya kipindi kirefu nikakumbuka ule mkwara wake hawatamaliza mwezi wa 3 sasa ni Aug vipi mzee wa upako biashara ya gongo itaanza au kuna mwandishi aliyetutoka tukatoe rambirambi
 
Back
Top Bottom