Kwa wenye ndoto ya kujenga ila budget ndogo mje tushauriane!

Mmh ndugu vi
vitu vinapanda bei kila uchao bora anunue asset zisizoharibika kwa urahisi

Mawe,kokoto,mchanga,mabati,nondo,misumali na ikiwezekana tofari afyatue kabisa......

Experience......"Nyumba ya kitale"
 
Mjengo wake ndo huu?
 
asante mkuu, bahati njema kiwanja ninacho tayari!
Anza na materials za kutosha kujenga msingi tofali, kokoto, mchanga, nondo, cement

Kusanya nguvu anza kunyanyua hadi lintel na top coa hapo utahitaji kununua tofali, kokoto, nondo na cemt

Mdogomdogo wekeza kwenye materials za kupaua baada ya kupau huko kwingine utajua mwenyewe jinsi ya kumalizia
 
Hivi jamani naomba kufahamishwa,nn faida ya kale kamkanda ka chini kanakotenganisha Kati ya msingi na tofali la kozi ya kwanza!!!!?
Je ni muhimu kuweka na hako kamkanda!!!?
Asante.
 
Nanda kwa awamu ni nzuri.

awamu ya kwanza msingi na mkanda.

awamu ya pili unapandisha hadi kwenye madirisha.

awamu ua tatu linta na coz tatu za mwisho.

then vuta pumzi kwenye paa, hapo ndio mziki hili huwa linataka hela yote iwepo kulikamilisha.
 
Hivi jamani naomba kufahamishwa,nn faida ya kale kamkanda ka chini kanakotenganisha Kati ya msingi na tofali la kozi ya kwanza!!!!?
Je ni muhimu kuweka na hako kamkanda!!!?
Asante.
ile ni ground beam ni muhimu sana kwny msingi kazi yake kubwa ni kusambaza mzigo wa nyumba uniform kutoka kwny kuta ili kusitokee cocentration au kuzidiwa kwa mzigo sehemu moja ya msingi.

kama haitawekwa madhara yake makubwa ni nyumba kupata creki kuanzia chini kwny msingi endapo kutatokea settlement au kutitia kidogo kwa msingi

tena hako kamkanda kanafaa kawe ni reinforced concrete ( kasukwe nondo ndani) lisiwe zege tupu
 
Shukrani Sana Kwa maelezo yako mazuri mkuu. Mfano nimejenga msingi wa mawe mwaka huu na naacha unyeshewe na mvua msimu mzima ili msingi uweze kutitia ama kujisimika vizuri.
Nisipoanza na kamkanda itaniathiri Sana!!!
 
Hivi jamani naomba kufahamishwa,nn faida ya kale kamkanda ka chini kanakotenganisha Kati ya msingi na tofali la kozi ya kwanza!!!!?
Je ni muhimu kuweka na hako kamkanda!!!?
Asante.
ile ni ground beam ni muhimu sana kwny msingi kazi yake kubwa ni kusambaza mzigo wa nyumba uniform kutoka kwny kuta ili kusitokee cocentration au kuzidiwa kwa mzigo sehemu moja ya msingi kwahio madhara yake makubwa ni nyumba kupata creki kuanzia chini kwny msingi endapo kutatokea settlement au kutitia kidogo kwa msingi

tena hako kamkanda kanafaa kawe ni reinforced concrete ( kasukwe nondo ndani)
 
Shukrani Sana Kwa maelezo yako mazuri mkuu. Mfano nimejenga msingi wa mawe mwaka huu na naacha unyeshewe na mvua msimu mzima ili msingi uweze kutitia ama kujisimika vizuri.
Nisipoanza na kamkanda itaniathiri Sana!!!
ndio bado madhara yanaweza tokea maana ardhi inamtindo wakufanya settlement baada ya mda fulani so ukiwa na kamkanda ikitokea settlement jengo zima lita settle kwa vi senti meter kadhaa bila kuadhirika wala kuonekana tofauti yoyote ila ukiwa huna hako kamkanda endapo jengo lita settle baada ya mda lazima uone crack kwny kuta zako
 
Mkuu unatema Sana madini na naomba usinichoke kwa maswali.
Pia vipi kuhusu kale kamkanda ka Renta kabla ya kuanza madirisha. Nayo hiyo Renta huwa na kazi gani!??? Je nikiweka kamkanda ka chini Haina haja ya kuweka kamkanda hako ka kabla ya madirisha,ama ninaweza nisiweke kamkanda ka juu ila nikaweka kamkanda ka juu!!??
 
kwahyo akifungua local account kuna shida gani mpka alazimike kufungua USD account.
kama ni nidhamu ya matumizi ya pesa anayo hakuna haja

Sent from my SM-M307F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…