Kwa wenye mtaji angalau 5M wajaribu hii biashara

Mkuu usichezee mtaji ukiupotoza kuja kurudisha sio rahisi kuna mtu anatafuta mtaji wa lakhi tano tu, hu ni mwaka wa pili hajaupata.....then uchezee 5m kwenye biashara risky kama hiyo

Hahahaa ww biashara haikufai mkuu!...ngoja tu nikae kimya!..nn kupoteza 5m mzee baba...kuna watu wamechoma pesa lakini bado wana nia ya dhati!kuchomoka kibiashara sio rahisi km unavyofikiri ww!
Binafs nimekuwa na ngozi ngumu balaa!utazoea tu
 
Mkuu mtaji wa kwanza hawauchezewi anza na biashara isio uua mtaji less risky kwanza then ukizoea ndo uende kwenye hizo
 
Mkuu usichezee mtaji ukiupotoza kuja kurudisha sio rahisi kuna mtu anatafuta mtaji wa lakhi tano tu, hu ni mwaka wa pili hajaupata.....then uchezee 5m kwenye biashara risky kama hiyo
Hahahaha unajua kwanini watu ambao hawajasoma wanafanikiwa? Kwa sababu hawana huo msamiati "risky"! Wewe ukipiga hesabu zako za kisomi sijui ku-calculate risk hutakaa uchomoze, hata hivyo sikmaanisha uchezee mtaji! Nenda kafanye kazi
 
Mkuu mtaji wa kwanza hawauchezee anza na biashara isio uua mtaji less risky kwanza then ukizoea ndo uende kwenye hizo
Biashara yenye risk ndogo ndio ikoje hio? Halafu udogo wa kitu unategmea na kipato cha MTU! Muuza karanga au kahawa Leo hii ukimwambia kuwa mtaji mdogo ni laki tano atakushangaa sana!
 
So sulihisho ni kutokufanya kabisa au una shauri vp
Sio suala la kutofanya!ila lazima mhusika ndio afanye upembuzi wa kutosha na kujirizisha juu ya biashara husika,ndio afanye maamuzi kwani humu wengi wanaleta mawazo ya biashara lakini wanayafanya ki urahisi sana bila kuelezea na risk zilizopo.unasoma mawazo ya watu kisha unayafanyia kazi ki undani
 
Biashara ninayoizungumzia hapa ni biashara ya grosari ambayo itajumuisha banda la chipsi , nyama choma , supu , chapati.

Ipo hivi, kwanza inabidi zipatikane fremu angalau mbili avunje kati ipatikane fremu moja kubwa.

Asubuhi apike supu nzito, auze na chapati laini za mia tano mia tano , pia anaweza akaongeza maini kwa pembeni na maharage.

Mchana kama kawa akaange chipsi ajumuishe samaki, kuku, ndizi, mishikaki, soseji anaweza akaongezea na egg chops kama atapenda.

Kuanzia jioni na kuendelea , apike tena supu, achome nyama choma safi ya ng'ombe au kuku, makange ya kuku, chapati nk

Muda wa jioni ndo mzuri zaidi kuuza na bia na vinywaji vingine .

Cha kuzingatia hapo ipatikane sehemu nzuri, tulivu, muziki laini laini wa kusindikizia bia , muhudumu msafi na mwenye lugha nzuri, mchangamfu na ambaye yupo sharp.
Bado na kitambulisho cha wajasiliamali
 
Mkuu zipo biashara zenye Risk kubwa nazenye Risk ndogo hicho inabidi ujue kuanzia leo ukichukua 5M na kufanyia kilimo una risk kubwa ya kupoteza kuliko ukiwekeza kwenye Uwakala.

Mtaji wa kwanza inabidi uwe nao makini kuliko kitu chochote kile kwa mtu kama Naja naja ndio akipata kihasi kama hicho leo simshauri afanye Biashara kama hiyo atalejea tena hapa JF kulilia watu mitaji hemu rejea tena ivyo vyakula alivyoweka mapaka viwe na soko la uhakika nahicho kipindi jua ni mtaji wake wamwanzo anakula wapi na Bill zake analipaje hiyo Pesa ya pango tu anakula nusu mtaji,...Risk calculation ina parcentage kubwa ya kupoteza mtaji atapata wapi mwengine atakuja kuomba JF.

Uyo mtu kama manengelo amepita kwingi na anavyohata vitega uchumi kwasasa vilivyosimama hivyo risk kama hiyo kwake cha mtoto ajawai kuja lialia mtaji hapa sio kwahuyo jamaa anahitaji ku calculate risk kuliko kitu chochote kile.

Musimpe kauri za kimotivrsheni spika akaja ona dunia chungu.

Kila kitu ni risky..lakini ukiogopa kujaribu utaishia hvyo hvyo!..
 
Biashara zenye less risk ni zipi?
Mkuu kuna kijana alikuja hapa kwangu akiwa anatoka makwao Bush na 2m sijui aliuza nini kupata hiyo pesa, akaniomba kibaraza aweke torori ya ma tunda )perishable fruits) nikamkubalia ila nika mwambia hiyo biashara ni poa sawa , ilawasipo vinunua vyote, utavitunza wapi? kwasabb ndo unaanza wateja hawaja kuzoea wala hawa kujui, mtaji utakufa kidogokidogo......ni kampa idea nyingine ya kutunza mtaji wake, ila faida ndogo, nunua deep freezer ya 1.5m ugadishe maji uuze pale kivukoni kwa wa vuvi asb na jioni hata Biashara ikiwa mbaya mtaji wako uko kwenye deep freezer, kurudisha pesa yako ni rahisi, sasa hivi kila siku anawakika wakuuza sh 30,000 hadi 50,000 na mtaji wake uko safe......in short invest pesa ambapo ni rahisi kuitowa biashara ikigoma, huo nimfano moja tu ila Biashara ninyingi ambazo ni less risky
 
huwez kujua changamoto ya kazi bila kuifanya kazi cha msingi amua kufanya then hizo changamoto utazikabili sababu mnaweza fanya biashara aina moja lkn changamoto zikawa tofauti mimi hua na amini kazi yoyote ukiifanya kwa kwa juhudi na maarifa itakulipa tu mfano Mama yangu alikua anauza sokoni lkn alifanikisha mambo mengi sana kwenye maisha yetu kiasi kwamba haikua rahisi kututofautisha sisi na watoto wanaotoka families za kishua
Sio suala la kutofanya!ila lazima mhusika ndio afanye upembuzi wa kutosha na kujirizisha juu ya biashara husika,ndio afanye maamuzi kwani humu wengi wanaleta mawazo ya biashara lakini wanayafanya ki urahisi sana bila kuelezea na risk zilizopo.unasoma mawazo ya watu kisha unayafanyia kazi ki undani
 
huwez kujua changamoto ya kazi bila kuifanya kazi cha msingi amua kufanya then hizo changamoto utazikabili sababu mnaweza fanya biashara aina moja lkn changamoto zikawa tofauti mimi hua na amini kazi yoyote ukiifanya kwa kwa juhudi na maarifa itakulipa tu mfano Mama yangu alikua anauza sokoni lkn alifanikisha mambo mengi sana kwenye maisha yetu kiasi kwamba haikua rahisi kututofautisha sisi na watoto wanaotoka families za kishua

U said it all!ishu ni kukabiliana nazo tu lazima utakuja kusimama tu!plus kusav sana hela
 
Kweli kabisa.

Hapo faida itapatikana upesi kama sehemu ina watu wengi.
Labda maeneo ya stendi zilizochangamka na abiria wengi ndio una uhakika wa kuuza chipsi nyingi ndio zitakubeba.
Lakini kwa mitaani uswahilini nyingi zinafirisika kila kukicha.
 
Back
Top Bottom