Kwa wenye akili timamu tu....m

Kwa wenye akili timamu tu....m

Fikiria kama ni wewe unaetolewa bikra ungefill aje
 
Ona ulivyo abnormal sasa[emoji23][emoji23][emoji23]..ume niita ndo maana nme kuja au i salamu yako ina walenga wa nani .si wenye akiri kama mimi japo ume tuita kweny upuuzi wako [emoji1314] SALAM kwa woteee
Mkuu potezea kua na amani. Sorry mkuu kama nimekukwaza
 
Salaam kwenu nyote, ni naomba kujua swali hili kiroho zaidi kwa wenye uelewa

Je? Ni sahihi kutoa bikra ya mwanamke ilihali ukiwa hauna malengo ya kuja kuwa nae maishani?... na mimi nimeulizwa nikakosa jibu...

Hakuna uhali wa kufanya dhambi kwa namna yoyote ile. Mshahara wa dhambi ni mauti... nadhani tumeelewana sasa
 
Watu wenye akili wameacha kazi zao wamejinoa wakajua labda jiwe anataka mkeo ,kumbe ndo haya mambo acha ujinga
 
Salaam kwenu nyote, ni naomba kujua swali hili kiroho zaidi kwa wenye uelewa

Je? Ni sahihi kutoa bikra ya mwanamke ilihali ukiwa hauna malengo ya kuja kuwa nae maishani?... na mimi nimeulizwa nikakosa jibu...
Sio tu kutoa bikra hata hicho mnachotaka kukifanya siyo sahihi
 
Salaam kwenu nyote, ni naomba kujua swali hili kiroho zaidi kwa wenye uelewa

Je? Ni sahihi kutoa bikra ya mwanamke ilihali ukiwa hauna malengo ya kuja kuwa nae maishani?... na mimi nimeulizwa nikakosa jibu...
navyofahamu... BIKRA ukiitoa maana yake wewe UMEMUOA huyo uliemtoa BIKRA (kiimani zaidi)

pia ukitmtoa mtu BIKRA kwa njia ya uzinzi.. maana yake.. wale watakaokuja kupita baada ya ww kufungua njia una PERCENT yako ya Dhambi ya uzinzi kwa kila mwanaume atakayemlala.. sas omba utoe bikra alaf asiwe MALAYA MUUZA k.. utakoma siku ya mwisho..

pia.. Siku ya Kiama... unafufuliwa na Mwanamke uliyemtoa bikra.. maana ndie anaetambulika kama mke kwako..

USHAURI.. BIKRA za kuziepuka jamani binafsi sipendi DEM bikra
 
Kwani kumkuta na bikra ndio sifa zote za kuwa mke anakuwa nazo?Kwa mtu anayejielewa bikra sio sababu ya msingi itakayomfanya aishi na mtu fulani.Mke ni zaidi ya tendo la ndoa...
 
swali hili la kiroho zaidi, tafadhali mtoa mada m-tag kiroho aje ajibu swali
 
haya mambo ya bikra yameanza juz juz mana enzi hizo hapakuwa na huo upuuzi
 
Mi hayo yalishanishinda. Ishanitokea mara tatu mabinti wananiambia hawajawahi. Na mimi nawaambia vaa chupi yako uende mama hiyo kitu mtunzie mumeo. Cha kushangaza hawasikii nakuja kuwakuta na mahuni yashawaharibu. Kwa upande wangu naona sio sahihi.
 
Salaam kwenu nyote, ni naomba kujua swali hili kiroho zaidi kwa wenye uelewa

Je? Ni sahihi kutoa bikra ya mwanamke ilihali ukiwa hauna malengo ya kuja kuwa nae maishani?... na mimi nimeulizwa nikakosa jibu...


Akhah!! sasa ndo vitu gani unakuja kuuliza.......? ukipata mude ana bikra baba we pasua tu...... mambo mengine itajulikana huko mbeleni.....
 
kuna mahusiano gani ya bikra na kuolewa kwa mwanamke?
Bikra kwa mwanamke ni sawa na bidhaa ambayo ipo sealed, na km haipo hivyo bhac ni used. Ki_iman mwanamke na mwanaume hawapaswi kukutana kimwili had pale watakapo oana.
 
Salaam kwenu nyote, ni naomba kujua swali hili kiroho zaidi kwa wenye uelewa

Je? Ni sahihi kutoa bikra ya mwanamke ilihali ukiwa hauna malengo ya kuja kuwa nae maishani?... na mimi nimeulizwa nikakosa jibu...
Siyo sahihi kufanya hivyo, pia ni dhambi kujamiiana kabla ya ndoa
 
Mi hayo yalishanishinda. Ishanitokea mara tatu mabinti wananiambia hawajawahi. Na mimi nawaambia vaa chupi yako uende mama hiyo kitu mtunzie mumeo. Cha kushangaza hawasikii nakuja kuwakuta na mahuni yashawaharibu. Kwa upande wangu naona sio sahihi.
Asante mkuu
 
navyofahamu... BIKRA ukiitoa maana yake wewe UMEMUOA huyo uliemtoa BIKRA (kiimani zaidi)

pia ukitmtoa mtu BIKRA kwa njia ya uzinzi.. maana yake.. wale watakaokuja kupita baada ya ww kufungua njia una PERCENT yako ya Dhambi ya uzinzi kwa kila mwanaume atakayemlala.. sas omba utoe bikra alaf asiwe MALAYA MUUZA k.. utakoma siku ya mwisho..

pia.. Siku ya Kiama... unafufuliwa na Mwanamke uliyemtoa bikra.. maana ndie anaetambulika kama mke kwako..

USHAURI.. BIKRA za kuziepuka jamani binafsi sipendi DEM bikra
Asante kiongozi
 
Acha utoto,kila mijadala INA nyakati zake,bikra ni nini,MTU anamwacha kigoli anaoa mzazi Mara sita,wewe umekaza misuli ya shingo kujadili upuuz
 
Back
Top Bottom