Mambo muhimu ambayo mzazi unapaswa kuyafanya kuhusu watoto wako!

Song of Solomon

JF-Expert Member
Aug 5, 2021
2,733
5,490
Usivue nguo mbele ya mwanao pindi akifikisha miaka 2 au zaidi. Jifunze kumwomba akupishe.

Usiruhusu mtu yoyote amwite mwanao “Mchumba”, “Mke wangu” au “Mme wangu”.

Kila wakati mwanao anapoenda kucheza na wenzake, hakikisha unafuatilia kujua wanacheza nini, siku hizi hata watoto wanafundishana michezo michafu na wengine wana maambukizi....

Kama mwanao ameonyesha kutopenda kwenda kwa mtu fulani usimlazimishe, pia chunguza kwa ukaribu ili kujua sababu.

Inashauriwa kupitia kwanza mwenyewe movie yoyote kabla ya kuruhusu mwanao waiangalie.

Mwanao anapofikisha umri wa miaka 3 anza kumfundisha jinsi ya kusafisha sehemu zake za siri mwenyewe, na umuonye asiruhusu mtu yoyote kumshika sehemu hizo.

Mfundishe mwanao thamani ya kuishi bila kufuata mkumbo.

Mwanao akilalamika kuhusu mtu fulani, usikae kimya.

Usipende kumruhusu mwanao kulala na housegirl au houseboy au mgeni. Huwezi jua tabia za watu na wanayomtendea usiku!!!!
 
... dadavua kwa kina kila point Mkuu. Kwa mfano hiyo ya kuitwa mchumba, mume, au mke ina madhara gani?
 
Nilikuwa nikifeli mtiani naambiwa mimi ni “kichwa cha kuku”. Hii kitu ilinisumbua sana. Thanks GOD hao wananiomba ela sikuizi
 
ela ya ice cremam, au vocha??? but all in all hongera
kwa kuwa na ela chief.
 
Usivue nguo mbele ya mwanao pindi akifikisha miaka 2 au zaidi. Jifunze kumwomba akupishe.

Usiruhusu mtu yoyote amwite mwanao “Mchumba”, “Mke wangu” au “Mme wangu”.

Kila wakati mwanao anapoenda kucheza na wenzake, hakikisha unafuatilia kujua wanacheza nini, siku hizi hata watoto wanafundishana michezo michafu na wengine wana maambukizi....

Kama mwanao ameonyesha kutopenda kwenda kwa mtu fulani usimlazimishe, pia chunguza kwa ukaribu ili kujua sababu.

Inashauriwa kupitia kwanza mwenyewe movie yoyote kabla ya kuruhusu mwanao waiangalie.

Mwanao anapofikisha umri wa miaka 3 anza kumfundisha jinsi ya kusafisha sehemu zake za siri mwenyewe, na umuonye asiruhusu mtu yoyote kumshika sehemu hizo.

Mfundishe mwanao thamani ya kuishi bila kufuata mkumbo.

Mwanao akilalamika kuhusu mtu fulani, usikae kimya.

Usipende kumruhusu mwanao kulala na housegirl au houseboy au mgeni. Huwezi jua tabia za watu na wanayomtendea usiku!!!!
uzi mzuri mkuu...mwenye akili ameelewa na hii inatuhusu sisi wazazi kama ww hauna mtoto soman
itakusaidia baadae.
 
... dadavua kwa kina kila point Mkuu. Kwa mfano hiyo ya kuitwa mchumba, mume, au mke ina madhara gani?
Mkuu kama utafuatilia thread zangu humu nimekuwa nikitoa sana tahadhari za watoto kuitwa hayo Majina na watu wazima by the way huna haja ya kufafanuliwa hili jambo mkuu lipo wazi sana
 
Jana tu nimetoka kumpiga mtu Marufuku kali baada ya kusema "Sikukuu ya Eid nitakuja huko nimuone na Mchumba angu..." Nikambadilikia hapo hapo hakuamini, nikamwambia akome na iwe mwisho leo kumuita Mwanangu Mchumba, eti ooh "seriously unahisi nilimaanisha" nikamwambia utaongea kitu bila kumaanisha kwa hiyo wewe ni mwendawazimu waropoka tu bila kujielewa,

Siruhusu Mtu kumkiss mwanangu, kuna mengine kama mtoto akiwa mchanga yanawabusu Mdomoni kabisa, nikukuteee sijui kuchelewesha mambo,

Kwenye suala la kulea watoto niko very strictly, sitaki mazoea ya kijinga na watoto wangu.
 
Usivue nguo mbele ya mwanao pindi akifikisha miaka 2 au zaidi. Jifunze kumwomba akupishe.

Usiruhusu mtu yoyote amwite mwanao “Mchumba”, “Mke wangu” au “Mme wangu”.

Kila wakati mwanao anapoenda kucheza na wenzake, hakikisha unafuatilia kujua wanacheza nini, siku hizi hata watoto wanafundishana michezo michafu na wengine wana maambukizi....

Kama mwanao ameonyesha kutopenda kwenda kwa mtu fulani usimlazimishe, pia chunguza kwa ukaribu ili kujua sababu.

Inashauriwa kupitia kwanza mwenyewe movie yoyote kabla ya kuruhusu mwanao waiangalie.

Mwanao anapofikisha umri wa miaka 3 anza kumfundisha jinsi ya kusafisha sehemu zake za siri mwenyewe, na umuonye asiruhusu mtu yoyote kumshika sehemu hizo.

Mfundishe mwanao thamani ya kuishi bila kufuata mkumbo.

Mwanao akilalamika kuhusu mtu fulani, usikae kimya.

Usipende kumruhusu mwanao kulala na housegirl au houseboy au mgeni. Huwezi jua tabia za watu na wanayomtendea usiku!!!!
Sasa kwa nini mtoto asione mgegedo wangu wakati nfio hicho kilichomleta hapa duniani?
 
Jana tu nimetoka kumpiga mtu Marufuku kali baada ya kusema "Sikukuu ya Eid nitakuja huko nimuone na Mchumba angu..." Nikambadilikia hapo hapo hakuamini, nikamwambia akome na iwe mwisho leo kumuita Mwanangu Mchumba, eti ooh "seriously unahisi nilimaanisha" nikamwambia utaongea kitu bila kumaanisha kwa hiyo wewe ni mwendawazimu waropoka tu bila kujielewa,

Siruhusu Mtu kumkiss mwanangu, kuna mengine kama mtoto akiwa mchanga yanawabusu Mdomoni kabisa, nikukuteee sijui kuchelewesha mambo,

Kwenye suala la kulea watoto niko very strictly, sitaki mazoea ya kijinga na watoto wangu.
Mkuu hii ya kumkiss mtoto mdomoni huwa naichukia sana sana
 
Back
Top Bottom