Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,632
- 697,796
- Thread starter
- #761
Aaamen barikiwa zaidi kwa hii nyongezaLabda niongezeongezee tu nguo za mtoto kuchanganya na nguo za watu wazima hili nalo sio zuri kwa afya ya mtoto pia hata mazuria au yale madubwasha yakufutia miguu nayo si mazuri kwa afya ya mtoto kwasababu ni wengi wanakanyaga kwenye mazuria na hayo madude ya kufutia miguu sasa na watoto ndio wadau wakubwa wa kupenda kucheza kwa kugalagala chini na tukumbuke ngozi ya mtoto sio sawa na mtu mzima ni rahisi sana kupick bacteria kutoka kwenye hayo mazuria n.k.