Kwa watumiaji wa Honda Fit

Hybrid: Wana Hybrid version za Honda Fit kuanzia 2nd generation. Nzuri sana.

RS: Kama wewe ni mtu wa sports tafuta RS version kuanzia 2nd generation. Ina muonekano mzuri. Fog lights, paddle shifters, bumper sports, nyuma rear wings.

Shuttle: Hii ni special edition ya Honda fit ila ni kubwa zaidi. Inafaa kwa familia ni kubwa (extended) zaidi.
Sasa mkuu uzi wote umeumaliza mtoa mada ataongea nini tena 😁😁. NATANIA
 
Bila shaka hatujaelewa mada
Nimesema Watumiaji wa Honda Fit
Tushirikishane uzoefu wa changa moto. Mtu anaweza kuuliza chochote kuhusu honda fit. Ni kwa wale wanaotumia Honda Fit.
Sijui mmenielewa
 
Mi nataka tuzungumzie kuhusu changamoto za honda Fit ambazo watumiaji wamekuwa wakikutanaza nazo
Asante
 
Back
Top Bottom