Kwa watumiaji wa Honda Fit

Kwa watumiaji wa Honda Fit

Hybrid: Wana Hybrid version za Honda Fit kuanzia 2nd generation. Nzuri sana.

RS: Kama wewe ni mtu wa sports tafuta RS version kuanzia 2nd generation. Ina muonekano mzuri. Fog lights, paddle shifters, bumper sports, nyuma rear wings.

Shuttle: Hii ni special edition ya Honda fit ila ni kubwa zaidi. Inafaa kwa familia ni kubwa (extended) zaidi.
Sasa mkuu uzi wote umeumaliza mtoa mada ataongea nini tena 😁😁. NATANIA
 
Bila shaka hatujaelewa mada
Nimesema Watumiaji wa Honda Fit
Tushirikishane uzoefu wa changa moto. Mtu anaweza kuuliza chochote kuhusu honda fit. Ni kwa wale wanaotumia Honda Fit.
Sijui mmenielewa
 
Mi nataka tuzungumzie kuhusu changamoto za honda Fit ambazo watumiaji wamekuwa wakikutanaza nazo
Asante
 
Kitambo sana. Kadude mi kameshatimiza mwaka sasa.
 
We fala tu.
Mbona hujaleta mrejesho hadi leo
Duh nilisahau mambo mengi. Hii honda fit 2010 sio hybrid Mrejesho uko hivi
  • Ulaji wa mafuta uko vizuri kama ukizangatia uendeshaji highway unapata 15km/L, na mjini inakwenda 13-14km/L full AC
  • Ndani ina nafasi pia sit za abira unaweza kulaza ukaweka mizigi yako
  • Haka kagari ukikatunza kwa fundi utaenda kufanya service tu. Ni imara hata katika rough road kanahimili. Kuna wakati naenda nayo shamba bila tabu.
  • Ni rahisi sana kuendesha "msukanio" mwepesi sana na inachanganya speed vizuri ili sio kwa ajili ya ligi za barabarani.
  • Spea zinapatikana
Changamoto
  • Gari iko chini sana ni shida kupita nayo kwenye hizi bumps zetu na rough road
  • Sio comfortable sana ukiwa barabara ambayo haijanyooka au yenye mashimo mashimo.
Ushauri wangu uko hivi, kama unajipanga kununua gari yako ya kwanza kwa ajili ya shughuli zako town na bajeti ya ni ya wastani honda fit iko poa sana. Chagua toleo kuanzia 2010 hutajutia.
images (51).jpeg
 
View attachment 3582308
Kazuri sana kanaonekana tu. Ata kufika nako 2030 rahisi.
 
Back
Top Bottom