tzkwanza
JF-Expert Member
- Dec 27, 2018
- 1,567
- 3,616
Mwenzenu huyu hapa alidhalauriwa ila leo ni rais, msife moyo:video
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupo vzr ss wafupiMwenzenu huyu hapa alidhalauriwa ila leo ni rais, msife moyo:video
View attachment 1404384
Sent using Jamii Forums mobile app
Na anaonyesha kama atafanya marefu kuzidi marefu yote yale yaliyowahi kufanywa na warefuMwenzenu huyu hapa alidhalauriwa ila leo ni rais, msife moyo:video
View attachment 1404384
Sent using Jamii Forums mobile app
hiyo haijalishi, je Kama nipo juu ya mlimaRaha ya kua mfupi ni kwamba kipindi cha mvua unakua wa mwisho kunyeshewa
Raha ya kua mfupi ni kwamba kipindi cha mvua unakua wa mwisho kunyeshewa
Mkiwa pamoja na mrefu bado utakua wa mwishohiyo haijalishi, je Kama nipo juu ya mlima
HapanaIna maana warefu ma.vi yao yanachelewa kuingia shimoni toilet?
Hahahaa nimfupi ndio halafu mnene mweusi tii macho makubwa na ninakitambi kirefu tu kilichoshiba 😜,Mtani Troisième Ceil hivi na wewe si nikafupi eti? 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Aisee....hiyo haijalishi, je Kama nipo juu ya mlima
Hahahaaa. P O L E.Hahahaa nimfupi ndio halafu mnene mweusi tii macho makubwa na ninakitambi kirefu tu kilichoshiba 😜,
NB: usijaribu kujenga taswira ya nilivyo kwa ustawi wa afya yako.
Jibu: Chini ya Futi 3Hivi mtu mfupi kabisa ni chini ya futi ngapi??