Kwa watu wafupi tu

Kwa watu wafupi tu

Hivi umeshawahi kutana na Ben Mkapa kwa karibu. Jamaa ni mfupi haswa
But he is mighty.Akiingia huwa anafunika kila raisi hapa Africa kwa sasa.Jamaa linatisha and he has authority hajiweki nyuma kama nanii.
 
Back
Top Bottom