Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,170
- 8,622
Haiwezekani kichwa kilichojaa nondo na busara kama Pascal Mayalla kiwe kwenye teuzi na kundi moja la wanasiasa kama hawa.
Ukiangalia majina yalivyotoka ni wazi kuwa majina anapelekewa mwenye mamlaka ya kuteua bila kuangalia nani anafaa na ananondo za nguvu kiasi gani.
Ushauri tu kwa kada wa CCM ndugu Mayalla awe mshauri tu wa serikali maana kuteuliwa sio ishu. Kama wasio na nondo na wapiga kelele wanateuliwa kuna nini cha maana kupata teuzi?