Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
Poa tu shemeji hajambo?
Shemeji yupi?
Poa tu shemeji hajambo?
Mi nitajuaje labda Lumumba streetNaishi wapi sasa?
acha mbwembwe dogo usidhani kutumia I'd fake hatukujui, unaishi hapa bongo na umepigika kama walivyo wabongo wengine. we tuliza tigo yako home tuache kwenye uchungu na mabadiliko tuandamane
Nyuma ya keyboard yeyote aweza kuwa chochote!
Si kama unavyowadanganya wajinga wenzio unaishi States![]()
![]()
![]()
Jf kuna maajabu sana
Akikanyaga ubalozini ni nchi ingine si ya marekani inatawaliwa na sheria Za Tanzania sio Za TrumpYaani siku iyo mange akienda tuu wamemdaka na watapata kisingizio
Kibali Cha kuingia ardhi ya Tanzania ambayo ni ubalozi WA Tanzania? Ardhi yote ya ubalozi ni ardhi ya Tanzania hakuna mwenye mamlaka ya kutoa Kibali Kia mtu kuingia ardhi ya mtu mwingine zaidi ya mumilikiKibali mange alishapata na alikiweka live kwenye page yake ya instagram maandamano tar 25 mi nitakuwepo pia Washington DC
Ulitaka ukaandamane nje ya nchi nawe? wewe si ni wakunyumba lakini? Iwe mwana lafidhi yako mbona ni ya sisiemu?
Yenu yatakuwa HwasongSisi tuliopo North Korea maandamano yatakuwepo wapi Pyongyang?
Kibali Cha kuingia ardhi ya Tanzania ambayo ni ubalozi WA Tanzania? Ardhi yote ya ubalozi ni ardhi ya Tanzania hakuna mwenye mamlaka ya kutoa Kibali Kia mtu kuingia ardhi ya mtu mwingine zaidi ya mumiliki
Ndo maana haupoMna bahati mimi sipo USA.
NINGEKUWA HUKO HIYO TAREHE 26 KAMA KWELI MKIANDAMANA NINGEWATWANGA RISASI WOTEEE NA HUYO MANGE WENUUU.
Hivyo watakaoanda mana nao ni vixhaaNaomba mlijue hili mapema, anayeandaa maandamano ni kichaa tena mwehu mwenye nguo. Ndo maana anajua tu kusema maandamano ila hata kuyaplan kakosea sana. Maana ajataja yanaanza saa ngapi, yanaanzia wapi katika kila mkoa, na yanaishia wapi. Pia maandamano hayana viongozi katika kila nchi, na kila mkoa. Ina short sio maandamano haya bali ni machafuko yaliyoandaliwa kuichafua nchi na kuleta machafuko nchini
kichaa ni wewe uliyemjibu kichaaNaomba mlijue hili mapema, anayeandaa maandamano ni kichaa tena mwehu mwenye nguo. Ndo maana anajua tu kusema maandamano ila hata kuyaplan kakosea sana. Maana ajataja yanaanza saa ngapi, yanaanzia wapi katika kila mkoa, na yanaishia wapi. Pia maandamano hayana viongozi katika kila nchi, na kila mkoa. Ina short sio maandamano haya bali ni machafuko yaliyoandaliwa kuichafua nchi na kuleta machafuko nchini
Because while the truncheon may be used in lieu of conversation, words will always retain their power. Words offer the means to meaning, and for those who will listen, the enunciation of truth. And the truth is, there is something terribly wrong with this country, isn't there? Cruelty and injustice, intolerance and oppression. And where once you had the freedom to object, to think and speak as you saw fit, you now have censors and systems of surveillance coercing your conformity and soliciting your submission. How did this happen? Who's to blame? Well certainly there are those more responsible than others, and they will be held accountable, but again truth be told, if you're looking for the guilty, you need only look into a mirror. I know why you did it. I know you were afraid. Who wouldn't be? War, terror, disease. There were a myriad of problems which conspired to corrupt your reason and rob you of your common sense.View attachment 748503
Hii tarehe imenikumbushia sana hii filamu. Kazi ipo!
Voilà! In view, a humble vaudevillian veteran, cast vicariously as both victim and villain by the vicissitudes of Fate. This visage, no mere veneer of vanity, is a vestige of the vox populi, now vacant, vanished.View attachment 748503
Hii tarehe imenikumbushia sana hii filamu. Kazi ipo!