Kwa Watanzania waishio Marekani

Kwa Watanzania waishio Marekani

Zimebaki siku 10 [kama sijakosea] mpaka kufika ile siku ya siku...yaani ile siku ya “maandamano” dhidi ya rais Magufuli.

Maandamano ambayo kwa ufahamu wangu yamepangwa kufanyika kitaifa na kimataifa [kwa Watanzania waliopo ughaibuni].

Nakumbuka ililetwa taarifa humu kwamba kutakuwepo pia na maandamano nje ya nchi ambayo Watanzania waishio huko watashiriki.

Moja ya hizo nchi za nje ni Marekani. Watanzania waliopo Marekani watajikusanya na kwenda kuandamana huko Washington D.C.

Sina uhakika yatafanyika katika sehemu zipi huko D.C. lakini nadhani moja ya sehemu ni mbele/ nje ya ubalozi wa Tanzania na labda mbele ya White House.

Sasa ningependa kujua kama hayo maandamano ya huko Marekani bado yapo.

Kama yapo, yapo siku gani hasa. Tarehe 25 au 26?

Yatafanyikia wapi hasa? Mtaa, kiunga/ viunga?

Muda gani? Mratibu wake ni nani?

Watu watakutania wapi? Na kadhalika.

Kwa ufupi ningependa kupata taarifa zaidi.

Yakiwepo nami ntaenda na bango langu

Mzee Mwanakijiji Kiranga Bufa na wengineo wabeba boksi....nyie mnazo taarifa zaidi za hayo maandamano?

USA baby
Mna bahati mimi sipo USA.
NINGEKUWA HUKO HIYO TAREHE 26 KAMA KWELI MKIANDAMANA NINGEWATWANGA RISASI WOTEEE NA HUYO MANGE WENUUU.
 
Hii serikali watu wasiandamane kweli, 1.5t TRA wafanyabiashara wamefunga vibanda vyao kwa kukamuliwa, Trafic wanakubambikiza makosa,watu wamefutwa kazi kwa lazima, yote hii wanawakamua wanyonge ili kukwiba fedha zote hizo? Kweli wakatubu.
 
maandamano hayaepukiki hata wakituzuia tutaandamana ndani ya nyumba zetu
 
Kabula is too busy getting ready for her finals.

She ain’t got no time for that BS!
Mkuu wewe ni Dr? Naona umetaja kitabu changu pendwa cha BS(BIOLOGICAL SCIENCE) .

Au wewe ni homeless umeamua kutukana BS(BULLSHIT)? .

Tutakutafuna kama ni homeless halafu bado unakula tope ughaibuni.
 
Tuachane na nyani ngabu, njaa yake inamsumbua sana, eti nae anataka U-DC, utasubiri sana. Labda kama umetokea 'kule'
 
Moderator futa huu uzi afu uwape ban woteeee waliochangia vitu vya hovyo humu ndani...
 
Zimebaki siku 10 [kama sijakosea] mpaka kufika ile siku ya siku...yaani ile siku ya “maandamano” dhidi ya rais Magufuli.

Maandamano ambayo kwa ufahamu wangu yamepangwa kufanyika kitaifa na kimataifa [kwa Watanzania waliopo ughaibuni].

Nakumbuka ililetwa taarifa humu kwamba kutakuwepo pia na maandamano nje ya nchi ambayo Watanzania waishio huko watashiriki.

Moja ya hizo nchi za nje ni Marekani. Watanzania waliopo Marekani watajikusanya na kwenda kuandamana huko Washington D.C.

Sina uhakika yatafanyika katika sehemu zipi huko D.C. lakini nadhani moja ya sehemu ni mbele/ nje ya ubalozi wa Tanzania na labda mbele ya White House.

Sasa ningependa kujua kama hayo maandamano ya huko Marekani bado yapo.

Kama yapo, yapo siku gani hasa. Tarehe 25 au 26?

Yatafanyikia wapi hasa? Mtaa, kiunga/ viunga?

Muda gani? Mratibu wake ni nani?

Watu watakutania wapi? Na kadhalika.

Kwa ufupi ningependa kupata taarifa zaidi.

Yakiwepo nami ntaenda na bango langu

Mzee Mwanakijiji Kiranga Bufa na wengineo wabeba boksi....nyie mnazo taarifa zaidi za hayo maandamano?

USA baby
Kwanza nataka kukujulisha hakuna watanzania ughaibuni na kama wapo ni wawili au watatu wwngine wooote ni walio kuwa wa tz na wakaukana uraia wao wakawa wamarekani, sasa hao wachache wanao ishi huko kama wa tz wako busy kutafuta pesa za kwenda kujenga kwao...hawawezi kuacha kazi zao wakaingie garama ya kulipa mahela yoooote hayo ya nauli kwenda kusimama kwenye baridi kisa kupigwa picha na kuwekwa kwenye mitandao ili iweje? Kesho wakishuka bongo nani atakaye wasaidia wakati kamanda wao yuko wanted.....amkeni wabongo ughaibuni watu wana akili zao hakuna maandamano
 
Zimebaki siku 10 [kama sijakosea] mpaka kufika ile siku ya siku...yaani ile siku ya “maandamano” dhidi ya rais Magufuli.

Maandamano ambayo kwa ufahamu wangu yamepangwa kufanyika kitaifa na kimataifa [kwa Watanzania waliopo ughaibuni].

Nakumbuka ililetwa taarifa humu kwamba kutakuwepo pia na maandamano nje ya nchi ambayo Watanzania waishio huko watashiriki.

Moja ya hizo nchi za nje ni Marekani. Watanzania waliopo Marekani watajikusanya na kwenda kuandamana huko Washington D.C.

Sina uhakika yatafanyika katika sehemu zipi huko D.C. lakini nadhani moja ya sehemu ni mbele/ nje ya ubalozi wa Tanzania na labda mbele ya White House.

Sasa ningependa kujua kama hayo maandamano ya huko Marekani bado yapo.

Kama yapo, yapo siku gani hasa. Tarehe 25 au 26?

Yatafanyikia wapi hasa? Mtaa, kiunga/ viunga?

Muda gani? Mratibu wake ni nani?

Watu watakutania wapi? Na kadhalika.

Kwa ufupi ningependa kupata taarifa zaidi.

Yakiwepo nami ntaenda na bango langu

Mzee Mwanakijiji Kiranga Bufa na wengineo wabeba boksi....nyie mnazo taarifa zaidi za hayo maandamano?

USA baby

Babu ujaachaga uongo tuu??

Wewe unaishi huko??
 
Back
Top Bottom