Kwa Watanzania waishio Marekani

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,212
113,505
Zimebaki siku 10 [kama sijakosea] mpaka kufika ile siku ya siku, yaani ile siku ya “maandamano” dhidi ya Rais Magufuli.

Maandamano ambayo kwa ufahamu wangu yamepangwa kufanyika kitaifa na kimataifa [kwa Watanzania waliopo Ughaibuni].

Nakumbuka ililetwa taarifa humu kwamba kutakuwepo pia na maandamano nje ya nchi ambayo Watanzania waishio huko watashiriki.

Moja ya hizo nchi za nje ni Marekani. Watanzania waliopo Marekani watajikusanya na kwenda kuandamana huko Washington D.C.

Sina uhakika yatafanyika katika sehemu zipi huko D.C. lakini nadhani moja ya sehemu ni mbele/ nje ya ubalozi wa Tanzania na labda mbele ya White House.

Sasa ningependa kujua kama hayo maandamano ya huko Marekani bado yapo.

Kama yapo, yapo siku gani hasa. Tarehe 25 au 26?

Yatafanyikia wapi hasa? Mtaa, kiunga/ viunga?

Muda gani? Mratibu wake ni nani?

Watu watakutania wapi? Na kadhalika.

Kwa ufupi ningependa kupata taarifa zaidi.

Yakiwepo nami nitaenda na bango langu.

Mzee Mwanakijiji Kiranga Bufa na wengineo wabeba boksi nyie mnazo taarifa zaidi za hayo maandamano?

USA baby
 
Ila bila serekali ya awamu ya tano kutoa ufafanuzi wenye maiko yuu ya 1.5trillion , ziko wapi na zimetumika vipi, na zilipitia taratibu gan ... Nitakuja na bango ...Na nitakuwa front fod

Utaenda kuandamana wapi? D.C.?
 
Naona mzee Santa katika ubora wake.
Screenshot_20180417-014531.jpg
tapatalk_1523910151567.jpeg
 
Back
Top Bottom