Kwa Watanzania waishio Marekani

Kwa Watanzania waishio Marekani

We endelea kuchambia wikipedia!ila sheria ya Tanzania inataka kibali kwa mikutano na Taarifa kwa maandamano!
Nyani kaniuluza swali, nimejibu kwa kumpa habari aa uhakika kuhusu maandamano USA. Wala hatukuzungumzia ya Tanzania. Nawe umekurupuka kama kawaida ya watu wa akili kama zako na kujibu bila kujua linaloendelea.
 
Mimi niko Syria mwenye connection na da mange amwambie anipe muongozo
 
Ila bila serekali ya awamu ya tano kutoa ufafanuzi wenye mashiko juu ya 1.5trillion , ziko wapi na zimetumika vipi, na zilipitia taratibu gan! ... Nitakuja na bango ...Na nitakuwa front fod
Hata kodi hujawahi kulipa halafu unajitia ufahamu wa kuulizia 1.5 trillion unakuwa sawa na yule Muha wa kibirizi anayeziponda hizo ndege wakati kila wiki ndio anazipanda kwenda kwao Kibirizi
 
IMG_20180418_034142.jpg

Hii tarehe imenikumbushia sana hii filamu. Kazi ipo!
 
Zimebaki siku 10 [kama sijakosea] mpaka kufika ile siku ya siku, yaani ile siku ya “maandamano” dhidi ya Rais Magufuli.

Maandamano ambayo kwa ufahamu wangu yamepangwa kufanyika kitaifa na kimataifa [kwa Watanzania waliopo Ughaibuni].

Nakumbuka ililetwa taarifa humu kwamba kutakuwepo pia na maandamano nje ya nchi ambayo Watanzania waishio huko watashiriki.

Moja ya hizo nchi za nje ni Marekani. Watanzania waliopo Marekani watajikusanya na kwenda kuandamana huko Washington D.C.

Sina uhakika yatafanyika katika sehemu zipi huko D.C. lakini nadhani moja ya sehemu ni mbele/ nje ya ubalozi wa Tanzania na labda mbele ya White House.

Sasa ningependa kujua kama hayo maandamano ya huko Marekani bado yapo.

Kama yapo, yapo siku gani hasa. Tarehe 25 au 26?

Yatafanyikia wapi hasa? Mtaa, kiunga/ viunga?

Muda gani? Mratibu wake ni nani?

Watu watakutania wapi? Na kadhalika.

Kwa ufupi ningependa kupata taarifa zaidi.

Yakiwepo nami nitaenda na bango langu.

Mzee Mwanakijiji Kiranga Bufa na wengineo wabeba boksi nyie mnazo taarifa zaidi za hayo maandamano?

USA baby
Ndugu yangu vipi, hamna chance ya kubeba mabox na mimi nije kubeba
 
Maboksi yapo mengi tu.

Karibu sana.
Aahh mkuu nakujaje sasa wakati sina ndugu wala visa, na by the way viongozi walioingia madarakani huko states na tz wanataka kila mtu akae kwao. Huko wamebana kuingia na huku wamebana kutoka
 
Nyani Ngabu sijui tunaandamana wapi mkuu, ukipata updates nijulishe tafadhali niombe udhuru box teh teh

Afu mbona ughaibuni wameomba vibali wakati bongo hawataki kufanya hivyo.
 
Aahh mkuu nakujaje sasa wakati sina ndugu wala visa, na by the way viongozi walioingia madarakani huko states na tz wanataka kila mtu akae kwao. Huko wamebana kuingia na huku wamebana kutoka

Unakujaje? Unapanda ndege....
 
Maandamano yatakoma nje ya ubalozi wa tz pale Washington DC,mratibu ni sababu za maandamano,
Msemaji wake ni Mangekimambi mfuatilie instagram,
Jitahidi uwepo ili tujikomboe dhidi ya hawa wezi wa tsh 1.5 trillions,
Jamaa ni wauaji, makatili kuliko shetani lazima tuwaondoe or else titakwisha!

Back
Top Bottom